Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
- Thread starter
-
- #61
Lengo lake tuonekane sisi ni wakoloni kwa wake zetu jambo ambalo si kweli.Kuna kitu unakikimbia. Picha inayopigwa kwa ajili ya rejea au kumbukumbu haijifichi, inaonekana. Umemaliza chuo, umepiga picha, umekutana na rafiki yako, umepiga picha, umemkumbuka mama yako ukamtembelea, ukapiga picha, n.k n.k n.k Yaani hazijifichi na kwa wanaokufahamu zinapendeza kutazama sababu ni kumbukumbu.
Swali: Mwanamke kaamka asubuhi, kajiremba, kavaa wigi na mini yake kagauka, kabinuka photo pwaaa, kesho tena kaamka kabeba begi kaenda airpot kama vile anasafiri wakati ni uongo photo pwaa, karudi nyumbani yupo na kanga tupu video waaa na caption I am proud of me. Lengo linakuwa ni nini?
Shida tupuTatizo la mtibeli anajadili heading na sio content!
Tena anasema wazi kabisa kua yeye anajadili heading tu!
😀😀
Naona utafute muda nikupe mafundisho zaidi kuna mahala una pwaya sana mkuu.Mkuu mimi ni mtaalam wa Saikolojia na sosholojia. Ulichowasilisha na wachangiaji naelewa mtazamo na matakwa yenu.
Ukisoma comments utaelewa kile nasema
Poor brain 100%Lakini kijamii bado naiona sio sawa hii!... Mkeo kila kukicha anajipost mtandaoni kabinua matako yake nawewe pasina kuwa na haya una comment umedamsh,umewaka,umependeza mke wangu! Ni sawa hatukupangii bro ila ukigongewa ndo utaona maumivu yake.
😀, ila mkuu, ningekuwa umri wa Genz achilia mbali kujibenua, hata kujipodoa halafu ajipost kila mara huyo kwangu hafai, ningewaachia walimwengu anaowapostia wadeal naye, na mimi ningepita tu kama wao.😆😆
Hao waobinuka hao wanamatatizo yao. Na inakuwaje mtu kuoa mwanamke mwenye life style tofauti na wewe?
Mimi nawajua wanawake wengi wameolewa na wanaposti kila lisaa limoja. Wakiwa wamejipodoa lakini hawajibinui, hawakai uchi, hawajidhalilishi.
Mwanamke akijipodoa akpost, au akijirekodi akiwa anajipodoa sioni tatizo lolote.
Kujipodoa ni sifa njema ya mwanamke.
Ila kujibinua, kuonyesha makalio, uchi, nguo za ndani hapo hoja yenu iko sawa.
Lakini kama havunji maadili. Ni kupost tuu why not.
Au ndio kusema anaringishia?😂😂
Hahahaha, kwamba Album nazo zingewekwa public, unaenda lets say ofisi ya kijiji kuna album unachagua tu. we jamaa bana.Lengo lake tuonekane sisi ni wakoloni kwa wake zetu jambo ambalo si kweli.
Hizo picha ni lini na wapi zikawa za public kama humu mtandaoni zile picha zilikuwa za wageni (ndg) ndo wanaangalia na simpitanjia tu na yeye eti apewe aangalie sasa anamuangalia nani?
Kusema marafiki zetu wa mtandaoni tunafahamiana ni uongo huu mimi Nina marafiki wa south A, Ghana Congo nk hatujawahi onana lakini hadi tumepeana mawasiliano tumefahamiana mitandaoni tu kwenye majukwaa ya kilimo na ufugaji hata humu jf nimepata marafiki japo hata picha zetu hazipo. Mtebeli usitushike akili
😀, ila mkuu, ningekuwa umri wa Genz achilia mbali kujibenua, hata kujipodoa halafu ajipost kila mara huyo kwangu hafai, ningewaachia walimwengu anaowapostia wadeal naye, na mimi ningepita tu kama wao.
Shubamiit. Hahaha.😂😂 Hizo mali zinamatumizi yake na faida zake ni kwa Sisi walimwengu
Shubamiit. Hahaha.
Tech ilipofikia kuna mambo ni ngumu kuyadhibiti na tubapoelekea ndo inawezekana ikashindikana kabisa.Ni Sawa na wanaauzuia video za kikubwa. Inanishangazaga sana.
Bishara itakayoendelea baada ya mkeo kujipost mtandaoni nina uhakika hutakaa uifurahie.Watakuelewa wachachd sanaaa ila katika jambo ambalo sipendezwi nalo kwa wanandoa moja wapo ni hili
Mke akishajianika mitandaoni kinachofuata ni kutafutwa na biashara iendelee mana biashara Matangazo
Kwahio mkeo kwa kuwa anafurahishwa na kutongozwa na attention za hapa na pale unaona ni sawa tu kujianika mitandaoni akiwa kabenua makalio hovyo.Mkuu Dunia haiko hivyo. Lengo la maisha mi kuishi. Na kuishi ni kufanya Jambo linalooupendeza na kukufurahisha.
Mwanamke kupost na kushare picha zake kama ni furaha yake hakuna tatizo lolote.
Anafurahia vile anavyoonekana na vile watu wanavyomuona.
Furaha yake ndio mchango wake ndani ya ndoa(familia yenu)
Tatizo kubwa walilonalo wanaume wengi hasa wasiojiamini, waoga wa kuachwa, kuishi wenyewe au kutafuta chimbo jingine ndio huwa na Sheria zisizo na kichwa wala miguu. Huwaza mambo ya ngonongono. Kwamba Mke ataliwa, mke anajitangaza.
Mkuu mkeo hata awe na kiswaswadu kama ni Malaya, kama hakupendi watu watajipihia tuu.
Yaani mkeo asipost picha zake mitandaoni na anapenda kufanya hivyo kisa ujinga na mawivu yako?😆😆 Kuwa serious.
Kadiri unavyoonyesha Wivu kwa mkeo ndivyo thamani yako kwake inashuka. Na anatafuta mwanaume Bora zaidi. Anaona hujiamini.
Anakuona huna Options (uwezo wa kupata mwanamke mwingine kama yeye)
Mpe Sheria moja. Uaminifu ni juu yake. Aki-cheat utamfukuza bila kikao.
Kisha mengine muachie
Sasa mtu asijipost kisa?
Mbona huwazuii wanaume?
Mbona hausemi mumeo kama anajipost picha zaidi ya 30 ni hatari?
Acha mawazo ya kizamani Mkuu.
Hiyo sio njia salama ya kuishi kwa furaha na Mkeo unayempenda.
Kwahio mkeo kwa kuwa anafurahishwa na kutongozwa na attention za hapa na pale unaona ni sawa tu kujianika mitandaoni akiwa kabenua makalio hovyo.
Na huu ni uhakikaBishara itakayoendelea baada ya mkeo kujipost mtandaoni nina uhakika hutakaa uifurahie.
Hii kumaanisha mwanamke asitumie smart phone? Kumaanisha Kwamba mke wa Mo dewj anatumia kiswaswadu? Unawaza kwa kutumia nini?Kitendo tu cha wewe kwenda dukani,ukanunua simu ukamkabidhi mwanamke,kisha unatoa bundle huo ni uzwazwa. Jamaa amedili na matokeo ya tatizo pasipo kujua yeye ndiye chanzo cha tatizo.
💯Kutongozwa kwa mwanamke sio tatizo.
Ili kujitongozesha kwa kubinua makalio ndio tatizo
nawaza kwa kutumia makalio yako, kwa maana....Hii kumaanisha mwanamke asitumie smart phone? Kumaanisha Kwamba mke wa Mo dewj anatumia kiswaswadu? Unawaza kwa kutumia nini?