Wanawake wengi hujianika mtandaoni kama sluts. Huwa lazma waweke mapozi ya mitego ili wazamiwe D.M's na miongoni mwa pozi ni kujibenua makalio. Kwa shababi yeyote akiona hayo mazingira lazma atatupa ndoano tu.Kutongozwa kwa mwanamke sio tatizo.
Ili kujitongozesha kwa kubinua makalio ndio tatizo
Ni vyema umekiri maana makalio yangu hayana ubongo kwa hiyo unaweza jibu vyovyote tu😂nawaza kwa kutumia makalio yako, kwa maana....
Siku zote iko hivyoWanawake wengi hujianika mtandaoni kama sluts. Huwa lazma waweke mapozi ya mitego ili wazamiwe D.M's na miongoni mwa pozi ni kujibenua makalio. Kwa shababi yeyote akiona hayo mazingira lazma atatupa ndoano tu.
Ni aghalabu sana kukuta mwanamke kajipost bila lengo la attention seeking aidha yuko ofisini au akiwa na familia (watoto na mume)
Hapo Lengo ni moja tu, Biashara, mengine yote ni visingizio.Mwanamke kupost picha zake mitandaoni pasipo matukio kama ya kikazi, biashara au matukio yenye hadhi ya kumbukumbu mfano sherehe, kuhitimu shule n.k lazima kuna lengo. Yaani kwa wiki unapiga picha tu, ubabadili vimini sijui madera unapost mtandaoni. Lengo ni nini?
Naunga mkono hoja mkuu.Hapo Lengo ni moja tu, Biashara, mengine yote ni visingizio.
Mtu akilenga kutunza picha kwa ajili ya kumbukumbu anapost kwenye group la familia, au anatuma kwa mwenza au ndugu na jamaa wa karibu, siyo hadharani