Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Hapana kaka kuna mambo ya msingi ya kusaidiana ambayo jamii hawasaidiani mfano matibabu na elimuKawaida tu , kama jamii tunasaidiana tu , mimi nakuchagia vizuri tu ila nisikose bia zangu nikija harusini🤔
Kawaida tu , uzuri kuchangia ni hiyari yako tu bwasheeHapana kaka kuna mambo ya msingi ya kusaidiana amnayo jamii hawasaidiani mfano afya na elimu
Ila likihusu huu ujinga wa harusi na sherehe za kipumnavu unakuta watu wanachangiana
Yote ni sababu wanajua watakuja kuila pesa yao
Dunia ina unafiki sana
Hii huleta tabia ya utegemezi,mtu anakua hajiandai wala hajiwekei akiba,akitegemea atachangiwa,Kawaida tu , kama jamii tunasaidiana tu , mimi nakuchagia vizuri tu ila nisikose bia zangu nikija harusini🤔
Bwashee , kwenye utamaduni wa jamii yangu huwa tuna share mambo mengi ya kijamii kwa pamoja , mfano hata pombe , mazishi , harusi , maendeleo ya kiuchumi na nk , ndio maana naona kawaida tuHii huleta tabia ya utegemezi,mtu anakua hajiandai wala hajiwekei akiba,akitegemea atachangiwa,
Siku zote tegemea ulichokishika mkononi na usitegemee utakacho tafuta au utakacho omba.
Ni hiari sawa ila utakuta mwana anakuganda utafikiri bila hiyo 70k ya single au 100k ya double hawezi kufanya harusiKawaida tu , uzuri kuchangia ni hiyari yako tu bwashee
Harusi sio shida au tatizo, ni starehe kati ya muoaji na muolewaKawaida tu , kama jamii tunasaidiana tu , mimi nakuchagia vizuri tu ila nisikose bia zangu nikija harusini🤔
Kuna watu wanasumbua kama ni lazima vile.Kawaida tu , uzuri kuchangia ni hiyari yako tu bwashee
Una mchana tu kama haupendi bwashee, ila binafsi kwangu ukinipa kadi ya harusi tayari unanidai na kama mwana jamii napaswa nilipe sisi ni wamatumbi tu bwashee na sio wachina kiukweli 🤗Ni hiari sawa ila utakuta mwana anakuganda utafikiri bila hiyo 70k ya single au 100k ya double hawezi kufanya harusi
Yote ni kutaka makuu tu, wakati unapanga harusi ulikuwa haujui gharama zinahusika
Yaani wewe utuombe pess zetu na bado utupangie kiasi na tarehe ya mwisho ya kutuma michango umerogwa nini
Huu ndio ujinga wa mabwana harusi watarajiwa woteHii huleta tabia ya utegemezi,mtu anakua hajiandai wala hajiwekei akiba,akitegemea atachangiwa,
Uzuri mmoja unaweza mwambia tu mtu sina au sitaki kukuchangiaHarusi sio shida au tatizo, ni starehe kati ya muoaji na muolewa
Sahihi hao 2 bwana na bibi harusi watarajiwa na familia zao wajipange waandae sherehe (harusi) sisi wengine tualikwe tu.Harusi sio shida au tatizo, ni starehe kati ya muoaji na muolewa
Nimeshawachana wanangu kadhaa, meseji yangu huwa ni moja tuUna mchana tu kama haupendi bwashee, ila binafsi kwangu ukinipa kadi ya harusi tayari unanidai na kama mwana jamii napaswa nilipe sisi ni wamatumbi tu bwashee na sio wachina kiukweli 🤗
Kwenye jamii yetu huwa tunachanga mtu anafanya mpaka harusi ya mil 100 , kamati ya harusi wanabalance hiyo hela maharusi wanaweza bakiwa na hata million 30 za kuanza maisha , na hapo kuna zawadi za kutosha😄Nimeshawachana wanangu kadhaa, meseji yangu huwa ni moja tu
"Kaka haukujipanga?"