Hivi inakuwaje mwanaume mzima unafikia hatua ya kupiga simu na kutuma meseji za kuombaomba michango ya sherehe ya harusi yako?
Unajikuta ghafula umeungwa kwenye group la harusi, humo bwana harusi mtarajiwa anajidhalilisha kwa kuombaomba michango mpaka unaona aibu wewe.
Hivi ni lazima uchangishe watu kwa ajili ya tukio la kukaoa hako kamwanamke kako?
By the way harusi ni utoto sana na ujinga na fake event, unapanda range na kamalaya kako kesho tunawaona kwenye IST au daladala umeshikilia bomba.
Hakuna mtu aliyewahi kupokea tuzo ya harusi bora. Usijimalize kwa madeni na kujidhalilisha kuombaomba.
Fanya sherehe yako ndogo, vaa pendeza na mkeo, alika watu wachache utakaowamudu ifanye sherehe yako ipendeze tunza kumbukumbu kwa picha na video.
Anzisha ndoa yako in peace not pressure. Usitake kuwaimpress watu for one day halafu ukabaki na years of stress za madeni.
Marriage is for life. The wedding is for a day.
Nakubaliana na wewe . Wakati naenda kuoa tena mtoto wa kishua, wazazi wake waliniuliza
Una bajeti ya bei gani
Niliwzjibu nina bajeti ya mahari tu na pesa ya family dinnet less than 2M
Niliwaambia Sina muda wa sherehe nitaenda kuoa kanisani itakuwa imeisha baada ya hapo tutakuwa na family dinner
By that time nilikuwa Mtumishi, wakaniambia wewe mtumishi si uchangishe physiciens wenzio
Niliwajibu kwanza mimi siwezi kuwa na huo muda wa kukimbizana na michango , ni mambo ya aibu
Pili siwezi kuoa kwa kuchangiwa hizo ni dharau
Tatu naona aibu kuomba watu hela , it is not my thing while ninaweza kufanya kilicho kwa uwezo kwangu
Muhimu ni mimi kuishi na mke wangu kwa upendo ,
In fact wakasema we will handle it ,
niliwajibu honestly i am not interested ,
aliulizwa mwenzangu vipi ? Yeye akajibu nitakuwa upande wa mume wangu mtarajiwa. Huyo ni mtoto wa kishua
Ni katika siku hiyo ndio nikajua hakika nimepata mke
Ni mwaka wa 6 sasa kwenye ndoa unaenda wa 7 .Nina mapenzi ya dhati kwa huyu Mrembo , tunaishi km mapacha
Moja ya kitu pekee ambacho nikiambiwa nichague kimoja of all the things kumshukuru mungu basi nitachagua shukran na kurban kwa kuwa na huyu mwanamke, hiko tu
Hapa kati kati yani mtu anakusumbua hata km upo majuu , 2 to 3 years wapo juu ya mawe
Mimi ninaamini mimi ni miongoni mwa binaadam tuliofanikiwa kupata wake bora akiwemo na ndugu yangu Lowasa