Kashapona_jr
Member
- Jul 5, 2018
- 46
- 68
Kinachonikera ni kupangiana beer tu unashangaa umekunywa beer nne unaambiwa zimeishaKawaida tu , kama jamii tunasaidiana tu , mimi nakuchagia vizuri tu ila nisikose bia zangu nikija harusiniπ€
Mzee aliniambi kitu hiko nikagomaKuna hiki kitu haujagundua.
Na naongea kwa uzoefu binafsi na marafik rika zangu wa karibu.
Asilimia kubwa ya vijana hatutak kufanya sherehe ya Harusi. Ila huwez kukaa na Mtoto wa mtu ndan had ufanye baadh ya process.
Kwahiyo unavyoanza kutoa taarifa kwa wazaz. Wao sasa wanashika hatam ya kukuongoza uanzie wap na wap. Unakubaliana na mambo yote (kupeleka barua, kupeleka posa/mahar kujitambulisha au kuvalisha pete. , ) ila likija sasa kwenye sendoff na sherehe ya harusi vijana tunapinga kidogo kwa kusema mm sina marafik weng na harus ni gharama.
mzaz/mlezi anakuambia ni Lazima. Mm nimechanga za watu weng na kuhudhuria sherehe zao. Alaf ww uoe bila harus. Haiwezekan.
nitaita Ndugu zako vikao tutashikana mashati na utaoa kwa sherehe.
Na upande wa kike pia unaweza kuamua kama upande wa kiume.
Na hizi zote vijana weng Hatupend. Ila sasa wazaz washaamua.
Kwahiyo na ww inabidi ukomae kutafuta hela kwa marafik kufikia budget ya harusi. (Ndio huo Usumbufu unaouona) wengne anaweza hata asikutafute miaka 5 alaf gafla anapiga sim kukualika kwa kukao na siku ikifika hata usipoenda watapiga sim ya kuomba pledge yako.
Kama ni Mshkaj wako, uwezo unao, au unajua kuna siku utaomba msaada kwake pia kwa namna yoyote. mpe tu Sapport ππππ
Mno hili linakera sanaKinachonikera ni kupangiana beer tu unashangaa umekunywa beer nne unaambiwa zimeisha
Mimi wanangu nawadai na wananijua kabisa kwaiyo mara nyingi napewa muhudu wangu π π π πMno hili linakera sana
Lazima ni zimue kwanza nnje nikiingia ndani ya ukumbi nitakazopewa nazugia tu ila mara nyingi wanaona aibu mwenyewe tu wanazijaza mezani πMimi wanangu nawadai na wananijua kabisa kwaiyo mara nyingi napewa muhudu wangu π π π π
Mimi aibu ilishakata kama mshikaji wangu kanipa kadi ya Ndugu au jamaa yake siku ya sherehe wananiweka karibu na watu wa vinywaji ila ya mwanangu napewe mtu hii sababu nilishawai kwenda Kwa bwana harusi mbele akaniletee vinywaji tena nimemkazia π π π πLazima ni zimue kwanza nnje nikiingia ndani ya ukumbi nitakazopewa nazugia tu ila mara nyingi wanaona aibu mwenyewe tu wanazijaza mezani π
Hahahahh hii noma , sema pombe za kwenye harusi zinafanyiwa fitina sana , nikujenga ukaribu tu na wahudumu, muhimu upigilie pamba kali zinakuja tu zenyewe π€£Mimi aibu ilishakata kama mshikaji wangu kanipa kadi ya Ndugu au jamaa yake siku ya sherehe wananiweka karibu na watu wa vinywaji ila ya mwanangu napewe mtu hii sababu nilishawai kwenda Kwa bwana harusi mbele akaniletee vinywaji tena nimemkazia π π π π
Akili ndogo au tamaa tu ndio maana sherehe yoyote isipokuwa na mtu namuamini siendi kabisa najua nitagombana na wanaoficha beer tu maana kujishikilia siwezi.Hahahahh hii noma , sema pombe za kwenye harusi zinafanyiwa fitina sana , nikujenga ukaribu tu na wahudumu, muhimu upigilie pamba kali zinakuja tu zenyewe π€£
huwa wanakulazimisha uchangie?Kama ni upendo si wataleta zawadi siku ya harusi yako?
Kwanini uwaombe ufhadhili huku ukibainisha kabisa kianzio au utakuta
Single 50,000/=
Double 75,000/=
Wengine wajinga wananazia laki3 nk
Kama sio lazima kwanini unitumie kadi?huwa wanakulazimisha uchangie?
Kwa nini uwe ombaomba? Harusi sio jambo la ghafulaMaana weng hawatarajii uwe na kipato kikubwa kwenye age hii.
Kwahiyo sapport utapata.
Una hoja kaka, kama sio lazima usinipangie kiasiKama sio lazima kwanini unitumie kadi?
Kwanini unipangie kiasi?
Unajua kutofatisha zawadi lakini na ufadhili?
Unachangia na hautaendawanakera sana halafu hapo ukute ndoa wanafungia mikoani πππ
Ukiombwa mchango jibu kwa ujasiri kuwa wewe hujishughulishi na mambo ya harusi kabisa ila unaweza kuchangia maharusi eg sufuria ya kuanzia maisha.
KabisaKawaida tu , uzuri kuchangia ni hiyari yako tu bwashee
Muoaji aishi kulingana na kipato chake sio wanakaa kama kamati wanaandaa bajeti halafu wanategemea pesa za waalikwa.Vita Ya Uchumi