Brother, haya ndio yatakuwa mambo ya muhimu kwako katika siku zijazo

C
Ni wewe au Chadomo ndiyo mtafanikisha yote hayo?
Halafu tambua kwamba Lissu, kwa hii kesi yake ya uhaini, tutampiga mvua 30
 
Mkuu huwa nafurahia comments zenu ila akina tumia akili na wengine wanapoleta post kwenye social media, ni kama inakuwa kuwasanua watu fulani na naona mission kama hazifanyiki kwa wakati tarajiwa au kufeli kabisa.
 
Umewaza kama Mimi Mkuu, Bora ingekuwa inafanyika kimya kimya tu. Kimya kimya nayo inamadhala Fulani maana hii ya kuvujishi inasaidia watu kuwa na uvumilivu huku wakisubiri muda tajwa.
 
Mkuu huwa nafurahia comments zenu ila akina tumia akili na wengine wanapoleta post kwenye social media, ni kama inakuwa kuwasanua watu fulani na naona mission kama hazifanyiki kwa wakati tarajiwa au kufeli kabisa.
Maybe taarifa zinaletwa kwetu kutuandaa kisaikolojia , ili la brother naomba litimie Ds wasirudi nyuma kwa kweli .
 
Ondoa swala la masters au degree kuwa sifa ya uongozi, sio kweli Elimu inaongeza ubora wa uongozi, na number 28 & 29 futa ,acha watu wachukue risk na wafanye kazi waamue wa kumuuzia sio kubana bana watu
 
Absolutely 100%✓
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…