Brother, haya ndio yatakuwa mambo ya muhimu kwako katika siku zijazo

Naunga Mkono hoja. Kumbe bado tuna Wazalendo wa kweli Mungu awatangulie likafanikiwe.
 
Wageni wasiruhusiwe kwenda kwa wakulima bali kuwe na masoko ya kimataifa maeneo ya mipakani
Hapa napingana na wewe! Wageni waruhusiwe kuingia wanunue mazao kama wana bei nzuri bei wazawa kama wanapata bei nzuri huko nje wapewe vibali waende nje mapema sana, biashara iwe hurua serikali focus yake iwe kodi
 
Siku Tanzania Tukipata Kiongozi kama huyo, Maendeleo yatakuja yenyewe tu
 
4. Idadi ya wabunge iwe sawa na idadi ya halmashauri na mbunge lazima awe na masters degree.
Shahada haidhihirishi uwezo wa kiongozi. Inaweza kuwanyima fursa watu wenye uzoefu wa vitendo lakini hawana stashahada.
27. Serikali ipime ardhi yote ya nchi na kuhakikisha hati zinatolewa. Aidha kuwepo na standard za ukubwa wa ardhi unaotolewa inayoruhusiwa kupata hati.
Tengeneza mfumo wa kidigitali wa usajili wa ardhi ulio wazi kwa wote Mfano ule wa Tausi.
29. Serikali ifute mara moja utaratibu wa mabenki na taasisi nyingine za kifedha kuwakopesha wananchi mikopo binafsi inayolipwa kwa mishahara. Benki zikopeshe biashara na kuchochea ukuaji wa uchumi.
Mikopo kwa watu binafsi ni chanzo muhimu kwa uwekezaji wa ndani (k.m., kununua nyumba, kuanzisha biashara). Kusitisha ghafla kunaweza kushusha uchumi wetu. Nashauri tudhihibiti mikopo kwa viwango vya riba na masharti ya nafuu badala ya kuikataza.
 
U- NANI BWANA? JITOKEZE USIKAE KIMYA, USIJIFICHE! HUYU UNAYEMWAMBIA NI NANI BWANA! JITOKEZE TUKUONE, ULISEMA SASHA ANAPITA NI NANI ANAKUJA BAADA YAKE?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…