Mama pretty
JF-Expert Member
- May 1, 2020
- 2,398
- 4,948
AMINA na iwe hivyoHii naogopa.
Nafungua code kwa code kwa wale wasio elewa brother nani anapewa ujumbe.
Yohana 6:5-7
5 Yesu alipotazama aliona umati mkubwa wa watu wanamfuata. Akamwambia Filipo, “Tutanunua wapi mikate ya kuwalisha watu hawa?” 6 Alisema hivi kumjaribu Filipo maana yeye mwenyewe ali jua atakalofanya.
Note
Kwenye bold Filipo ni Philip kwa kimakonde. Huyu Philip ndiyo Mpango mzima wa haya maelekezo.
Na ndio hatokei tena , anapiga na kusepa.HUYU JAMAA TANGU 2022.LEO KAIBUKA TENA
Kama inatakakuja hivi! Yule bro wetu si ameomba kuondoka!Namba moja ni coded!
Kubaki bilka kuondoka,
Na ni brother.
Nimefikiria anaweza kuwa mseminari mwenye mipango mingi🤔🤔🤔Namba moja ni coded!
Kubaki bilka kuondoka,
Na ni brother.
Hapa tusubiri,Kama inatakakuja hivi! Yule bro wetu si ameomba kuondoka!
Ulishaandika zibaki mbili kama ilivyofanyiwa utafiti na mashirika ya kijasusi ya kimataifa!!3. Katiba ya Warioba ifanyiwe marekebisho kidogo sawa na andiko hili na ipitishwe kuwa rasmi kwa kura ya maoni.
Ni kama tumerudi mfumo wa chama kimoja,Sasa mwendo wa kupigishana shot uchafuke watu wachukue kiti chako.
Dah! Ukatili ulioje?
Mama hawezi kuitwa "brother"Natamani mjuvi wa codes a decide point namba 1 maana ndiyo imebeba umuhimu wa pekee. Ni nani anayetakiwa asiondoke kwanza na ataelewa zaidi katika muda sahihi. Je ni huyu mama au Mpangieni mipango mwingine, natamani zaidi code namba moja iwekwe wazi.
1. Inahusiana na wewe kubaki bila kuondoka.
"Brother"
Nani huyu, ni Mzee wa kugoma?
Execution approved?Edmund mystic aliona utawala ujao ni wa chuma kweli kweli,yaani tutafunga mkanda kweli kweli,hii inamaanisha mchumi ndio atapewa na aliejiuzulu umakam ndio anaenda kupewa inavyoonekana!!
Kumbe kipindi kile amepotea haonekani alienda kupewa maelekezo!?Hadi tukavumisha kwamba!!!?
Sasa ni rasmi anapewa yeye!!na kweli ndie fdr anaingia bila kupigiwa kura kama yule wa america!!
Nadh
Edmund mystic aliona utawala ujao ni wa chuma kweli kweli,yaani tutafunga mkanda kweli kweli,hii inamaanisha mchumi ndio atapewa na aliejiuzulu umakam ndio anaenda kupewa inavyoonekana!!
Kumbe kipindi kile amepotea haonekani alienda kupewa maelekezo!?Hadi tukavumisha kwamba!!!?
Sasa ni rasmi anapewa yeye!!na kweli ndie fdr anaingia bila kupigiwa kura kama yule wa america!!
Nadhani!
Deni la Trilioni 100 SI kidogo!Edmund mystic aliona utawala ujao ni wa chuma kweli kweli,yaani tutafunga mkanda kweli kweli,hii inamaanisha mchumi ndio atapewa na aliejiuzulu umakam ndio anaenda kupewa inavyoonekana!!
Kumbe kipindi kile amepotea haonekani alienda kupewa maelekezo!?Hadi tukavumisha kwamba!!!?
Sasa ni rasmi anapewa yeye!!na kweli ndie fdr anaingia bila kupigiwa kura kama yule wa america!!
Nadhani!