Brother, haya ndio yatakuwa mambo ya muhimu kwako katika siku zijazo

AMINA na iwe hivyo
 
Natamani mjuvi wa codes a decide point namba 1 maana ndiyo imebeba umuhimu wa pekee. Ni nani anayetakiwa asiondoke kwanza na ataelewa zaidi katika muda sahihi. Je ni huyu mama au Mpangieni mipango mwingine, natamani zaidi code namba moja iwekwe wazi.
 
Edmund mystic aliona utawala ujao ni wa chuma kweli kweli,yaani tutafunga mkanda kweli kweli,hii inamaanisha mchumi ndio atapewa na aliejiuzulu umakam ndio anaenda kupewa inavyoonekana!!

Kumbe kipindi kile amepotea haonekani alienda kupewa maelekezo!?Hadi tukavumisha kwamba!!!?

Sasa ni rasmi anapewa yeye!!na kweli ndie fdr anaingia bila kupigiwa kura kama yule wa america!!

Nadhani!
1. Inahusiana na wewe kubaki bila kuondoka.

"Brother"

Nani huyu, ni Mzee wa kugoma?
 
Execution approved?
 
Deni la Trilioni 100 SI kidogo!

Ajaye yeyote,kivyovyote lazima awe chuma, yaani ngumu zaidi ya jiwe Ili Kurudisha gari main road !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…