Brother, haya ndio yatakuwa mambo ya muhimu kwako katika siku zijazo

Wanataka kuziua taasisi za mikopo kausha damu kiaina!!watakosa wateja kabisa na taasisi zitakufa kibudu!
 
Code matata sana hii.
 
Kwani mkuu kuna mtu tayari alishanasa doano na kuchomoa hawezi hadi useme hivyo?
Kasome recent thread ya britanicca utaona kibubu kilivyoishiwa Hadi anashindwa kupata usingizi ,ni rasmi atashindwa kuendelea nankushauriwa aombe poo!

Pia mpango umekamilika kwa asilimia 60 Kwa nyoka kurudi kinyume nyume kuingia shimoni!!!!hii maana yake inaendana namba moja pale mwanzo wa Uzi huu kwamba alietaka kuondoka kitini Kwa kujiuzulu anarudishwa kitini ndio huyo Brother,SI mwingine labda ni Dr.ntibazonkiza mpango mzima,aliewahi kufanya kazi Benki ya Dunia!!!

Tusubiri!

Nafikiria ni hivyo labda!!
 
🤝
 
Sawa mkuu shukurani sana, ila ulinzi kwake uimarishwe hasa, cheo cha waziri mkuu kingeendelea kuwepo wajina mngempa uwaziri mkuu baada ya haya
Maana mwenzenu nilikua tayari nasuti ya kusimikwa kama VP
 
Labda tumuombe atusaidie kuchungulia majina huko kwenye vyumba vyao vya secret RESILIENT KATO, eti mkuu kibabu kinafiki na chenyewe ni miongoni mwa jamaa wenye hizi plans?
Ni mhitimu wa iliyokua kijitonyama zamani,yaani chuo Cha makachero was kijeshi enzi hizo,kwahiyo lolote linawezekana coz code ya "za kuambiwa changanya na zako" ni code matata sana na kijani Wana kijitabia kimoja Cha ajabu kuliko wanachama was vyama vingine "kusifu hata kama unaharibikiwa"wanaweza kukuita Mungu,Musa au nabii lakini wanajua mambo yanaharibika!!

Uso wa Mzee huwa haueleweki kama anacheka au kakasirika au yupo siriaz!!

Nawaza
 
Sawa mkuu shukurani sana, ila ulinzi kwake uimarishwe hasa, cheo cha waziri mkuu kingeendelea kuwepo wajina mngempa uwaziri mkuu baada ya haya
Maana mwenzenu nilikua tayari nasuti ya kusimikwa kama VP
Ni rasmi taifa linaelekea kwenye kubana matumizi na kuzalisha ajira nje ya serikali zaidi,utumishi wa imma unakwenda kuheshimiwa sana coz redundancy itatokea Kwa sana!!

Tujiandae kufunga mikanda tena,utawala wa kuwekana SAWA unakuja na kuondoa mapesa ya kifisadi yote!ngoja tuone!!
 
Mkuu sawa asante, ila ningekuwa mimi ni miongoni mwa member huko na nina cheo, huyo alikuwa wa kumchomoa huko, asijue chochote kinachoendelea huko
 
Haya yatawezekana nchi ikishapita kwanza kwenye ile rangi nyeusi iliyopo kwenye bendera elewa neno rangi nyeusi.
 
Sawa mkuu, wajina wangu ni ngumu kuendelea na post pendekezwa,

kwani itabidi nafasi iende kwa watu wa Lampenduza Islands.
Kingine mkuu inakuwaje mapesa ya wizi yaliyofichwa nje ya nchi na wanasiasa wetu?
Mahekalu yaliyonunuliwa huko ng'ambo?
 
Sawa mkuu, wajina wangu ni ngumu kuendelea na post pendekezwa,

kwani itabidi nafasi iende kwa watu wa Lampenduza Islands.
Kingine mkuu inakuwaje mapesa ya wizi yaliyofichwa nje ya nchi na wanasiasa wetu?
Mahekalu yaliyonunuliwa huko ng'ambo?
FDR at freez akaunti kama yaliyomtokea kigoma malima!Hadi presha ikamuondoa!!Mzee wa tabasamu anajua hilo!

Nahisi!
 
Pia nadhani itapendeza zaidi numbering ya wakuu wa nchi iwe rais wa (namba) na si awamu kama ilivyo sasa maana awamu zinawafanya marais kujihalalishia kuongoza vipindi viwili kama awamu moja. Na hili linafanywa sana na wanaccm huo utamaduni wa mtu kutaka lazima aongoze miaka kumi unapaswa kukomeshwa, kama atafaa na akachaguliwa fine ila si kwa kutamani hata kama hakubaliki atengeneze mazingira ya kuongoza two terms.
 
22. Rais akishindwa kuendelea na majukumu yake kwa kifo, kujiuzulu au tatizo la kiafya, bunge litapiga kura kumchagua raisi atakayetoka miongoni mwa wabunge watakaoomba. Makamu wa rais aruhusiwe kuomba
Nionavyo mimi ikitokea Rais ameshindwa kuendelea na majukumu yake kwa kifo au kujiuzulu, basi pawe na Rais wa mpito miezi mitatu kisha Tume huru ya uchanguzi ifanye uchanguzi wa kumpata Rais.
Hii ya wabunge wachangue wao hapana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…