Brother, haya ndio yatakuwa mambo ya muhimu kwako katika siku zijazo

Brother, haya ndio yatakuwa mambo ya muhimu kwako katika siku zijazo

Elimu ya shahada ni basic tangu lini?
Acha viwango vipande mkuu,tutasoma open universities kama kawaida!!!

Unaogopa nini!!?au una diploma!!?

Halafu ni rasmi hakuna uchaguzi mwaka huu labda hadi reforms zifanyike!!

Sidhani kama FDR anaweza ingia mwezi wa saba halafu mwezi wa kumi akagombea!sidhani kabisa!
 
hii tunahitaji sana tumekuwa na watu ambao ni machawa mana wanajiona hawana qualification njia pekee ya kusimama ni praise and worship waje wapya wenye akili/misimamo/hoja/vision/ mungu awa bless bana the state haya yatimie.
 
Umerudi tena kutuhadaa!, ile ya kwanza mlipatia kwasababu mlijua jamaa anaumwa!, yani ile mlipenyezewa mkajua kabisa kwa hili hatoboi!.
Sasahivi imebaki kubabia babia tu, Hakuna kinachoweza kujiri hapo kwa yote uliyoandika Tz bado sana tena bado mno!.
ukitaka kujua bado angalia uhalisia wa upeo wa watu wake wa kawaida ndo utaelewa!, maana katika ngazi ya nchi maendeleo huwa hayaletwi na huruma ya kiongozi!, huwa yanaletwa na u serious wa wananchi!.
Wananchi wanaweza kumuadabisha yoyote wanaemtaka na ndio wanaoweza kubadili mifumo.

Usiitarajie tz uliyoandika hapo bila kuwa na mabadiriko ya wananchi wake, kama wananchi sio welevu basi wajanja wachache wataichapa nchi wawezavyo!.
Kilichotokea Afrika Kusini kabla ya kuvunjwa rasmi ubaguzi wa rangi, ndicho kinachoweza kutokea Tanzania kabla ya uchaguzi.
Yaani pande mbili au zaidi zenye nguvu kisiasa, kijamii, au kiuchumi zitakaa chini na kupanga namna ya kutoumizana/kulipa kisasi baada ya uchaguzi, ili watakaoshindwa kwenye uchaguzi waendelee kuishi kwa Amani nchini.
 
huyu anaweza weka sherehe leo
Siwezinkuweka sherehe,nasikitika coz yaliyopaswa kutokea yameschelewa na kama taifa tumerudi nyuma sana!!reforms zilipaswa zifanyike 2022 lakini mpewa jukumu hilo akasikiliza chawa na kuchagua maagizo aliyopewa na Hilo agizo kuu akaita "kijitabu"

Kifupi tumechelewa sana!!

Nasubiri kuona sarakasi za kumuingiza Brother!!
 
brother akiingia na uhakika hawezi fanya ujinga, mana anaona sarakasi zinavopigwa huko na nguvu walionayo wakiwa na jambo lao + nazani this time ukiaminwa utakuwa closely monitored usije uka go rogue zikaanza sarakasi upya na kuipaka matope kampuni.
 
Akiingia kabla ya mwezi July kuisha ni rasmi itabidi erection isogezwe Hadi reforms zifanyike kwanza!!
Na Kwa maelekezo ya Tumia akili no rasmi chawa wanaenda kutokomezwa kabisa nchini !!hawatokuwepo kabisa hao jamaa!!
 
Back
Top Bottom