Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Sipigi nyeto lakini huu ni utafiti wa mchongoIla hutalast sana usijifariji maana as you age efficiency lazima ipungue
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sipigi nyeto lakini huu ni utafiti wa mchongoIla hutalast sana usijifariji maana as you age efficiency lazima ipungue
SI KWELIPicha/ video za ngono hukufanya uzoee kuona nyeti za mwanamke na hivyo kukufanya usipate hisia kali pale unapokua na mwenzi wako.
SI KWELIPunyeto hulegeza misuli ya uume hivyo huufanya umalize kwa haraka au ushindwe kusimama vizuri wakati wa tendo.
💯🤝Sababu nyingine ni woga (anxiety) wakati wa tendo. Punguza woga na uwe relaxed. Utapiga show nzuri tu.
Ukweli mtupuVijana wengi hawana tatizo la nguvu za kiume bali tatizo la msongo wa mawazo na wasiwasi na kutojiamini tu hasa katika kipindi huko cha material world kuliko utu na upendo!!!
Hisia unazitoa wapi wakati unajua FIKA unaefanya nae mapenzi hakupendi wala hana hisia na yeye bali amekufanya kuwa robot au mashine ya kufuatilia fedha !!!
Yaani unanunua kila KITU HADI uke hata hao tunaowaita wake zetu,wapenzi wanadai vingi toka kwetu kuliko hata wazazi wao walivyo wapatia! NGUVU utatoa wapi!!!
UKWELI WA KWAMBA Mapenzi YANAUZWA KAMA BIDHAA NYINGINE YEYOTE UNAPUNGUZA NGUVU ZA KIUME KWA ASILIMIA 50 HASA KWA MTU ALIEFUNDISHWA NA KULELEWA KWA MAADILI YA UPENDO WA ASILI!!!
NAKAZIAMUONGO MUONGO MUONGO
MUONGO MUONGO MUONGO
MUONGO MUONGO MUONGO
MUONGO MUONGO MUONGO MKUBWA
Muongo sana huyo jamaaPunyeto inalegeza misuli kwa muktadha upi??
Haha uongo mtupu, utapina na kitu gani kuwa kuangalia porn hupunguza nguvu au punyeto?Mna afya zenu mbovu mbovu uko
Kazi kusingizia punyeto na porn[emoji1]
Watu walioleta huu mtazamo wa mchongo kuhusu punyeto ni waganga wa tiba mbadala walicheza na mindset za wanaume kwani walijua wanaume wengi walishawahi kushiriki punyeto kipindi cha balehe.NAKAZIA
Mtoa mada Ni muongo Sana, upuuzweMUONGO MUONGO MUONGO
MUONGO MUONGO MUONGO
MUONGO MUONGO MUONGO
MUONGO MUONGO MUONGO MKUBWA
Wanaandika kwa hisia kuliko uhalisia,Punyeto inalegeza misuli kwa muktadha upi??
Na wanajua kuwa vijana wengi wanapitia humo hivyo wanataka kuwaogopesha ni matapeli kama matapeli wengine tuWatu walioleta huu mtazamo wa mchongo kuhusu punyeto ni waganga wa tiba mbadala walicheza na mindset za wanaume kwani walijua wanaume wengi walishawahi kushiriki punyeto kipindi cha balehe.
Wakaja na propaganda zao ilimradi wauze mitishamba yao kwa kigezo cha kuwasaidia waathirika wa punyeto.
Yaani it's doesn't make any sense punyeto iwe na madhara kuliko sex.
Wengi huongea vitu vya kufikirika,Haha uongo mtupu, utapina na kitu gani kuwa kuangalia porn hupunguza nguvu au punyeto?
......
Nimewaalika waje kupata dawa kwangu wanaringa
[emoji23][emoji23] mtu anayeiponda punyeto ni yule aliyetoka kupiga punyeto sasa ana feel guilty ili kuiondoa hiyo guilty anakuja kuanzisha nyuzi za kudiss punyeto kwa lengo la kujifariji.Wanaandika kwa hisia kuliko uhalisia,
Wanaleta hoja za kiwaki,hoja hawana[emoji4]
😂😂😂😂 amina mkuuHujui chochote kuhusu punyeto.
Uyo namwambia tupewe mwanamke na stopwatch afu tuone kuacha porn na punyeto kumemsaidia nini[emoji23][emoji23] mtu anayeiponda punyeto ni yule aliyetoka kupiga punyeto sasa ana feel guilty ili kuiondoa hiyo guilty anakuja kuanzisha nyuzi za kudiss punyeto kwa lengo la kujifariji.
Sasa kwa bahati nzuri anakutana na waandamizi katika ulingo wa punyeto tunampa darasa..