Mkweli77
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 1,459
- 1,135
Jast Bleiz mkuu jamaa yale yote aliyoongea yameenea saana mimi nilibaki kuchekaa tu na mke wanguu haahaa
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jast Bleiz mkuu jamaa yale yote aliyoongea yameenea saana mimi nilibaki kuchekaa tu na mke wanguu haahaa
Ana mashati kama ya le mutuz!!
Huyu jamaa ni noma aisee
Nguo anazovaa,lafudhi na jinsi anavyoigiza.
Cheki futuhi now au next Thursday uine then uje utoe feedback!!
Huyu jamaa anatosha
Kivipi?we mgeni bongo?
Sijajua mkuu poison,nikijua nitakujuza
Ana mashati kama ya le mutuz!!
huyu jamaa nomaa saana sikosi kumfuatiliaa ana kipaji saana ..jana nimecheka hadi basi
Yan nikikosa futuh huwa najuta kwa kwel, huyu kiumbe ni sheeedaaa hahahaaahhh
Huyu jamaa na yule muhaya mimi ndio wananiachaga hoi.
Mi hua naibahatisha tu hivi ni siku gani na ni saa ngapii vile!!!???
Alhamisi saa 3 na nusu. Marudio huwa ni jumamosi saa 5 na nusu asubuhi kama sikosei