Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yawezekana!!kumbe we kaka angu
yawezekana!!
Kuna mojaa jamaa alikuw anaforce kula mzgo
Ana mashati kama ya le mutuz!!
hahaha mama naniliu utatoa hutoi??
Michemko badala ya michepuko haaaahaaaaah
Mzee wa kamata makofi.. Bonge la komediani...!!
hapo mi mwenyewe nilicheka sana