Brother K wa Futuhi

Jast Bleiz mkuu jamaa yale yote aliyoongea yameenea saana mimi nilibaki kuchekaa tu na mke wanguu haahaa
 
Last edited by a moderator:
Jast Bleiz mkuu jamaa yale yote aliyoongea yameenea saana mimi nilibaki kuchekaa tu na mke wanguu haahaa

Hahaa kwa kweli alinichekesha sana haswa nilivyokuwa namfikiria jirani yangu ambaye ana tabia hizo.
 
Last edited by a moderator:
Huwa najitahidi sana kufuatilia hii mambo, nimegundua Mwanza kuna vipaji haswa upande wa komedi...siku za nyuma kulikuwa na mchezo wa redio/kipindi kinaitwa JIWEKE SAWA NA HESAWA....nilikuwa sikikosi aisee...ingawa sikumbuki vizuri kilikuwa kinarushwa kupitia redio gani.

Kuhusu braza K, jamaa anajitahidi sana...ila pia nimegundua jambo fulani....pamoja na kipaji huwa kuna mambo ya ziada yasiyotafsirika kirahisi ambayo hupelekea jamii kuvutiwa na mtu, kumbuka amekuja kuungana na wenzake baadae lakini wengi wamevutiwa na huyu bwana ukilinganisha na wenzake waliomtangulia na ambao pia wanajitahidi kwa upande wao.

Kuna jamaa mwingine alikuwa anasikika RFA, anajiita/wanamuita Dokta Rutashobya a.k.a Wa Dar Wali wa Nazi a.k.a Panyabukutumbotele...ni muda mrefu sasa hasikiki, huwa NIKItune RFA jmosi nikigundua hayupo nawapotezea....nimemsikiliza jamaa mara nyingi na uwezo wake ni wa juu sana...na ni hatari sana kuwapotezea watu wenye vipaji kiasi kile..hebu mwenye info za huyo jamaa, jina halisi anaitwa Niko Mtei...yuko wapi ? na mbona hasikiki ?
 
Huyu jamaa na yule muhaya mimi ndio wananiachaga hoi.
 
glycerine haaha mtafiti nooomaaa sana huyu..jana nilikua nimefurahii sana
 
Last edited by a moderator:
namkubali sana huyu jamaa.. kuna kipind alipotea futuhi ikaanza kusahaulika kwa kichwa yangu ila alivyorudi mwendo mdundo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…