Brother kaongeza mke wa pili, nimefurahi sana

Sasa bro kakufanyia connection ya kazi mkoani we umeenda kuzuga halafu umerudi Dar ili ufukuzwe tena.
 
Ila we jamaa kama mtoto wa kike, hakika wala bi mkubwa hakukosea kukutimua, we ni tatizo 100% na wala nahakika sio bi mkubwa wa bro wako, mwanaume unaliliaje kukaa kwa bro wako!?
 
Kwa kumkomesha afe nawewe olewa mke wa tatu mkuu
 
Kutimuliwa ilikuwa ni sahihi. Una ngebe sana.

Ndugu wa mume bana.😂😂
Ukute limejichanganya likaomba msambwanda likakimbizwa ka mbwa. Mitoto ya siku hizi. Unafanya kazi,eti shemeji mdogo ndo mshikaji. Karudi ukae kwa mshikaji sasa. Haya,ulimwambia nini bro mpaka kaacha mkewe? Ulijua utakua unalala nae,kumbe ye mchongo ni mshikaji wako huyo?! Selemani wee
 
Shida ya wanawake wakishaolewa wanajenga sana uwadui na ndgu wa mume ,kesho kesho kutwa wanajisahau ya kuwa nawao watapata matatizo pakukimbilia hawana ,hii imetokea kwa jamaa yangu wife wake hataki mdogo wa mshkaji kukaa pale ,ila wakija ndgu ni sawa ,ila mwamba amesimama imara hakumfukuza ndgu yake na alimwambia mke akitaka asepe tu ,Akawa anadai talaka akamwambia nenda Talaka nakutumia .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…