Brothermen Nyandindi A.K.A O-Ten amechoka sana

Maisha ni choice.

Miaka ile hela walipata wao kina oten wakawa wanabadilisha magari na kugonga mademu.

Alioimba nao kina mwana fa na Ay ni matajiri wa kutosha tu

Mwana fa kaenda kujisomesha IFM na master uingereza kwa hela za muziki.

Elimu imemsaidia kucheza dili na kuwabamiza tigo mabilioni ya pesa leo ana maisha mazuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…