Brothermen Nyandindi A.K.A O-Ten amechoka sana

Brothermen Nyandindi A.K.A O-Ten amechoka sana

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
Hizi video zilizopostiwa na Afande Sele. Aisee jamaa amechoka, siyo yule aliyesumbua na nguo zake nyekundu.
0EED3BFE-835F-441A-98B2-21D36D451461.png
EA305CE3-72E8-4127-9554-E8BD99B4D397.png
 
Maisha ni choice.

Miaka ile hela walipata wao kina oten wakawa wanabadilisha magari na kugonga mademu.

Alioimba nao kina mwana fa na Ay ni matajiri wa kutosha tu

Mwana fa kaenda kujisomesha IFM na master uingereza kwa hela za muziki.

Elimu imemsaidia kucheza dili na kuwabamiza tigo mabilioni ya pesa leo ana maisha mazuri
 
Back
Top Bottom