sodoliki
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 2,593
- 2,019
Pesa mmetumia faida yake hamna, watu wanapitia madiirishani i kama mbagala , nanukuu kwenye biblia tunasemaHongereni Kenyans,
Kitu ambacho Tanzanians tumekifanya kwa billion kadhaa kujenga miundombinu kumbe kuna ubunifu mwingine mzuri tu wa kununua makopo ya rangi na Kuchora mistari na maandishi kidogo tu.....!
Luka 6:41-45 BHN
Kwa nini wakiona kibanzi jichoni mwa ndugu yako, na papo hapo huioni boriti iliyoko jichoni mwako?