BRT Kenya

BRT Kenya

Hongereni Kenyans,

Kitu ambacho Tanzanians tumekifanya kwa billion kadhaa kujenga miundombinu kumbe kuna ubunifu mwingine mzuri tu wa kununua makopo ya rangi na Kuchora mistari na maandishi kidogo tu.....!
Pesa mmetumia faida yake hamna, watu wanapitia madiirishani i kama mbagala , nanukuu kwenye biblia tunasema
Luka 6:41-45 BHN

Kwa nini wakiona kibanzi jichoni mwa ndugu yako, na papo hapo huioni boriti iliyoko jichoni mwako?
 
Unadhani maendeleo ni kuwa na majumba marefu na malls wakati watu wabakufa kwa njaa, waliowaweka katika kundi la failed state hawajakosea, endeleeni kufuraia tall buildings, sisi huku tunazidi kujihakikishia usalama wa chakula, stupid nyang' au, hamna akili.
Kumbe ilikuuma kuambiwa maendeleo si chakula...hhhh
 
The World Factbook — Central Intelligence Agency
Acha kushindana na akili kubwa wewe, Tanzania, 22.8%(2015 east), KE 36.1%(2016 est).

Data za mwaka 2017 Tanzania inakisiwa kufikia 18%. Jaribu kujielimisha kidogo kabla ya kuandika, unemployment inajumuisha wote formal and informal, hata kama mtu ni self employed inahesabika yupo employed, tukisema 22.8% ni unemployed maana take hawana kazi ya uhakika inayowaingizia kipato.
Je mama mboga naye..hayuko katika hilo kundi la unemployment..wasee wa garage..nao hawako katika hilo kundi..tz ni maskini ni maskini tu...naona inakua sana
 
ndio, waliweka bidii ndio maana wanaexport mabasi zinaenda nchi kama tz...basi nanyi mnawaabudu badala ya kutia bidii mtengeze zenu🙄🙄kisha, basi hizo za Isuzu EA hazina shida yoyote ukizingatia quality...kama mwonekano ndio shida tu basi inamaanisha upo shallow sana kiakili...mabasi hayo ni ya kumaliza congestion...mwonekano mzuri haumalizi congestion...hivi ushawahi kuona mabasi yanayofanya kazi nchi flani za bara uropa au treni za marekani? yaani mwonekano haijalishi chochote...efficiency na quality, effect on local economy ndio mtu huwa anaangazia...not aesthetic qualities my fren...dont be shallow...na pia kwa maoni yangu basi hizi hazina mwonekano mbaya sana...zimejaribu pia...plus they are built in kenya by kenyans...thats teh most important aspect

Utabishana na ndugu zangu watanzania mpaka asubuhi, in short hawana kitu wanaweza zaidi ya mdomo, mzima pili, wana, benefits zero, Serengeti, benefits,, moderate, dhahabu, zero, coal zero, gas, zero, diamonds zero, na sasa ndio,wanaelekea north korea in terms ya leadership
 
Utataga mayai ya mbuni ndugu,uliishasikia tunaomba msaada kenya??
 
Utabishana na ndugu zangu watanzania mpaka asubuhi, in short hawana kitu wanaweza zaidi ya mdomo, mzima pili, wana, benefits zero, Serengeti, benefits,, moderate, dhahabu, zero, coal zero, gas, zero, diamonds zero, na sasa ndio,wanaelekea north korea in terms ya leadership
Hahahaha hahahaha, we will continue feeding you forever
 
Write your reply...
aisee ningekuwa mkenya ningebadili uraia, hata ningekuwa mganda sio mbaya, maana wakikuyu wanachowafanyia yaan kila siku kuwaletea ugly things za miaka ya 70,sasa hizo brt buses si ndo zilitumika kuwapeleka wanajeshi uganda kwenye vita ya kagera mwaka 1970!kama huamini tafuta ile muvi ya IDD amin..
 
Hakuna cha kuletewa hapo, hizo ni local...Zenyu mmespend a lot of billions kubuy.
 
Hahahaha hahahaha, we will continue feeding you forever
Nynyi mlishe kenya...si mtafilisika tu..hv tayari wa turuki wanahepa..mnakuja kujipiga kifua mna chakula..ukiwa na hela hainahaja upagawe na ukulima..muache maskini alime wewe ukanunue angalau na yeye apate pesa za kununulia petrol
 
Write your reply...
aisee ningekuwa mkenya ningebadili uraia, hata ningekuwa mganda sio mbaya, maana wakikuyu wanachowafanyia yaan kila siku kuwaletea ugly things za miaka ya 70,sasa hizo brt buses si ndo zilitumika kuwapeleka wanajeshi uganda kwenye vita ya kagera mwaka 1970!kama huamini tafuta ile muvi ya IDD amin..
Hzo basi zimeundwa wapi?...heheee..vp kuhusu petrol..mumeshapata hela
 
Chakula kipi bongolala wanalisha wakenya. Hebu watufafanulie maana mie siwaelewi hata kidogo. Tangu lini LDC ikalisha nchi nyingine? Pumba
 
For those Tanzanians that were asking about the progress of "ONLY BRT" marked roads your questions have been answered. Kenya have introduced new locally assembled BRT buses in Nairobi apposed to the imported one in most countries. View attachment 899744View attachment 899742View attachment 899743View attachment 899745

Kama tupo 21st Century, na Barabara za Nairobi in za 21st Century(Za kisasa kweli). Mbona wanataka kutumia buses za 20 Century, na buses zenyewe za safari ndefu. Hayo sio mabasi ya Jiji hayo no mabasi ya Masafa marefu. Nairobi City Council waache ubaili wanunue mabasi wanayoendana na hadhi ya Jiji la Nairobi na Barbara za Nairobi. City Council waache kusingizia MADE IN KENYA, Kenya hakuna kiwanda cha Magari ya ISUZU. Kutengeneza bodi la gari au basi sio kutengeneza gari, mbona hata TZ wanaweza kutengeneza Mabodi ya Magari.
UDA%2BPHOTO.jpg
IMG_7497.jpg
getimage.jpg
__320x320_545b0a8a07f9a.jpg
IMG_20181013_151128.jpg
IMG_20180917_172448.jpg
On a tulivyopitia hatua mbalimbali za mabasi ya Jiji. 1970's Scania and Isuzu, 1980's Ikarus, 1990's - 2010 Eicher and Scania. 2015 Golden Dragon
 
Attachments

  • UDA.jpg
    UDA.jpg
    11.6 KB · Views: 25
  • UDA.jpg
    UDA.jpg
    11.6 KB · Views: 25
Hayo magari ya kuendea mkoani sio kwa trip za km 20-30 za mjini.
 
Back
Top Bottom