BRT Kenya

Hongereni Kenyans,

Kitu ambacho Tanzanians tumekifanya kwa billion kadhaa kujenga miundombinu kumbe kuna ubunifu mwingine mzuri tu wa kununua makopo ya rangi na Kuchora mistari na maandishi kidogo tu.....!
Pesa mmetumia faida yake hamna, watu wanapitia madiirishani i kama mbagala , nanukuu kwenye biblia tunasema
Luka 6:41-45 BHN

Kwa nini wakiona kibanzi jichoni mwa ndugu yako, na papo hapo huioni boriti iliyoko jichoni mwako?
 
Kumbe ilikuuma kuambiwa maendeleo si chakula...hhhh
 
Je mama mboga naye..hayuko katika hilo kundi la unemployment..wasee wa garage..nao hawako katika hilo kundi..tz ni maskini ni maskini tu...naona inakua sana
 
Utabishana na ndugu zangu watanzania mpaka asubuhi, in short hawana kitu wanaweza zaidi ya mdomo, mzima pili, wana, benefits zero, Serengeti, benefits,, moderate, dhahabu, zero, coal zero, gas, zero, diamonds zero, na sasa ndio,wanaelekea north korea in terms ya leadership
 

Utataga mayai ya mbuni ndugu,uliishasikia tunaomba msaada kenya??
 
Hahahaha hahahaha, we will continue feeding you forever
 
Write your reply...
aisee ningekuwa mkenya ningebadili uraia, hata ningekuwa mganda sio mbaya, maana wakikuyu wanachowafanyia yaan kila siku kuwaletea ugly things za miaka ya 70,sasa hizo brt buses si ndo zilitumika kuwapeleka wanajeshi uganda kwenye vita ya kagera mwaka 1970!kama huamini tafuta ile muvi ya IDD amin..
 
Hakuna cha kuletewa hapo, hizo ni local...Zenyu mmespend a lot of billions kubuy.
 
Hahahaha hahahaha, we will continue feeding you forever
Nynyi mlishe kenya...si mtafilisika tu..hv tayari wa turuki wanahepa..mnakuja kujipiga kifua mna chakula..ukiwa na hela hainahaja upagawe na ukulima..muache maskini alime wewe ukanunue angalau na yeye apate pesa za kununulia petrol
 
Hzo basi zimeundwa wapi?...heheee..vp kuhusu petrol..mumeshapata hela
 
Chakula kipi bongolala wanalisha wakenya. Hebu watufafanulie maana mie siwaelewi hata kidogo. Tangu lini LDC ikalisha nchi nyingine? Pumba
 

Kama tupo 21st Century, na Barabara za Nairobi in za 21st Century(Za kisasa kweli). Mbona wanataka kutumia buses za 20 Century, na buses zenyewe za safari ndefu. Hayo sio mabasi ya Jiji hayo no mabasi ya Masafa marefu. Nairobi City Council waache ubaili wanunue mabasi wanayoendana na hadhi ya Jiji la Nairobi na Barbara za Nairobi. City Council waache kusingizia MADE IN KENYA, Kenya hakuna kiwanda cha Magari ya ISUZU. Kutengeneza bodi la gari au basi sio kutengeneza gari, mbona hata TZ wanaweza kutengeneza Mabodi ya Magari. On a tulivyopitia hatua mbalimbali za mabasi ya Jiji. 1970's Scania and Isuzu, 1980's Ikarus, 1990's - 2010 Eicher and Scania. 2015 Golden Dragon
 

Attachments

  • UDA.jpg
    11.6 KB · Views: 25
  • UDA.jpg
    11.6 KB · Views: 25
Hayo magari ya kuendea mkoani sio kwa trip za km 20-30 za mjini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…