BRT project in Nairobi takes shape

BRT project in Nairobi takes shape

Kwa hiyo taarifa ya kwamba Tanzania ndio inayoongoza kuwa na projects nyingi zenye thamani kubwa "almost three times that of Kenya" iliyotolewa na "independent institutions" unazipinga?.
1)SGR, $3.B
2)Bwawa la umeme $2.9B
3)BRT $370M
4)Daraja la Kigongo - Busisi $350M
5)Daraja la Tanzanite $290M

Hii miradi mitano pekee, inazidi miradi yote inayoendelea katika nchi yenu yote, taja miradi yenye thamani ya zaidi ya $2B. Lamu port hadi sasa hakuna "Financial institution yoyote iliyokubali kutoa fedha, na serikali yenu imetoa $200M pekee.
Watasubiri sana hawa viumbee sio kwa kasi hii hapo bado hujajumuisha miradi ya maji, dmdp, REA, miradi ya Barbara, hospitali mambo kibao wakenya kwa spidi hii watasubiri sanaa
 
Kwa hiyo taarifa ya kwamba Tanzania ndio inayoongoza kuwa na projects nyingi zenye thamani kubwa "almost three times that of Kenya" iliyotolewa na "independent institutions" unazipinga?.
1)SGR, $3.B
2)Bwawa la umeme $2.9B
3)BRT $370M
4)Daraja la Kigongo - Busisi $350M
5)Daraja la Tanzanite $290M

Hii miradi mitano pekee, inazidi miradi yote inayoendelea katika nchi yenu yote, taja miradi yenye thamani ya zaidi ya $2B. Lamu port hadi sasa hakuna "Financial institution yoyote iliyokubali kutoa fedha, na serikali yenu imetoa $200M pekee.
I'll stop questioning your IQ cause it's now clear that you don't have any.
LAPSSET alone is $25 B,
Tatu City is $2.5B,
Konza City $14.5B,
Eldoret -Juba Highway $1B
Nothern Water Collector $743M,
Expressway $650M.

These six projects alone is $45B which is 75% of your GDP.
 
Ata ghost projects unaziweka😂😂😂 we endelea kuhamisha goli uku ukijichekesha iyo lappset almost 10 years saivi na hakuna kitu ya kushow zaidi ya 2 sijui 3 berths in lamu that is less than 3% ya project nzima ni kama sisi tu ongeze lpg project of 30B $
 
Sema tu hujui progress ya LAPSSET usaidiwe. See here.
Three berths - Complete
Isiolo airport - Complete
Lamu -Isiolo road - Complete
Isiolo -Moyale Ethiopia road - Complete.
Lamu -Garsen Highway - 75% complete.
Isiolo -Mandera 748km - construction start on June.
Nadepal Juba Highway - U/C

Ama unataka picha nikuonyeshe? Shida ya watanzania Kama wewe you are too lazy to just do simple research and know the Truth. You depend on rumors and lies that people say, no wonder you have the lowest IQ in East Africa.
 
The ongoing construction of gerezani Mbagala BRT
Screenshot_20210414-065933_Chrome.jpg
 
Sema tu hujui progress ya LAPSSET usaidiwe. See here.
Three berths - Complete
Isiolo airport - Complete
Lamu -Isiolo road - Complete
Isiolo -Moyale Ethiopia road - Complete.
Lamu -Garsen Highway - 75% complete.
Isiolo -Mandera 748km - construction start on June.
Nadepal Juba Highway - U/C

Ama unataka picha nikuonyeshe? Shida ya watanzania Kama wewe you are too lazy to just do simple research and know the Truth. You depend on rumors and lies that people say, no wonder you have the lowest IQ in East Africa.

Yani unajinadi kabisa na ndani ya miaka kumi mmekamilisha less than 5% ya project mkianza sgr lamu Ethiopia na Sudan au mkikamilisha 32 berth zote ndio unitag sio kutuwekea marender hapa alafu unakuja kututambia ni kama mm niweke
Lpg project 30b $
Sgr 12.5b $
Bagamoyo 10b $ izo tuu tatu tushawapiga knockout kwaiyo usitambe sanaa
 
A developed Tanzania is developed Afrika. Tufurahie maendeleo kote bila ubaguzi.
They're incapable of that. To these people, development is a zero sum thing. So the way they see it is that for them to win Kenya has to lose. Really archaic Cold War mentality
 
Yani unajinadi kabisa na ndani ya miaka kumi mmekamilisha less than 5% ya project mkianza sgr lamu Ethiopia na Sudan au mkikamilisha 32 berth zote ndio unitag sio kutuwekea marender hapa alafu unakuja kututambia ni kama mm niweke
Lpg project 30b $
Sgr 12.5b $
Bagamoyo 10b $ izo tuu tatu tushawapiga knockout kwaiyo usitambe sanaa
Toa ujinga wako hapa, Only mad men talk about Bagamoyo and LPG. How can you count projects that's hasn't even done ground breaking? Siku ujenzi utaanza kwa hizo projects mbili ndio uje upanue midomo hapa. LAPSSET ni project inaendelea na tayari progress is more than 20%. Najua kwa akili yako unadhani LAPSSET ni Lamu Port pekee.
 
Acha kujifariji wewe kisodaa najua wakenya mnatamani sana iyo miradi isikamilike , alafu mradi wa lpg ushaanza sema umesimamishwa,

Eti 20% done tatizo lako unatumia bichwa lako kubebea kuni out of that 25b how much imekua invested so far sidhani ata kama imefika 1b
 
Acha ujinga wewe. Here are some of the complete sections of Lapsset which are more than $3B. I think mkiona hatupigi kelele juu ya LAPSSET mmadhani hakuna kitu inaendelea.

Lamu Port 1st three berths $689M
Isiolo Moyale road $420M
Lamu Isiolo road $620M
Isiolo airport $30M
Moyale OSBP + Construction of road from Meryl river in Ethiopia to Moyale Kenya $329M
Isiolo lokichar Suoth Sudan Border $1.4B.
Total= $3.488B.

Ongoing sections.
Lamu Garsen road $843M
 
Cost ya 3 berth mlisaini mkataba wa 480m $ 🤔
 
Nikidhani uta utapimlo mwingine hapo ulionandika umecheza nafiga kama kawaida yenu

Mkataba 480m $ wewe umeweka umeweka 690
 
Acha ujinga wewe. Here are some of the complete sections of Lapsset which are more than $3B. I think mkiona hatupigi kelele juu ya LAPSSET mmadhani hakuna kitu inaendelea.

Lamu Port 1st three berths $689M
Isiolo Moyale road $420M
Lamu Isiolo road $620M
Isiolo airport $30M
Moyale OSBP + Construction of road from Meryl river in Ethiopia to Moyale Kenya $329M
Isiolo lokichar Suoth Sudan Border $1.4B.
Total= $3.488B.

Ongoing sections.
Lamu Garsen road $843M
First 3 berths have costed less than $484 mln, leta evidence ya $689 mln!

The first phase of the port — involving three berths to handle container, convectional and bulk cargo vessels — was fully funded by Kenya at a cost of $48 million.

China Communications Construction Company Wins Lamu Port Phase 1 Contract​

April 11 | Posted by David Goldman | Geopolitik, Intelligence News

A consortium of companies led by China Communications Construction Company has won a 41 billion shillings ($484 million) contract to build the first three berths at Lamu port.
The LAPSSET project will see the consortium build the first three berths at Kenya’s new mega port in Lamu.
Lamu Port-South Sudan-Ethiopia (LAPSSET) transport corridor project will add 2 to 3 percent to Kenya’s economic growth further putting Nairobi in good stead geopolitically.

Intelligence reports that China Communications Construction Company through its flagship international arm, China Road and Bridge Corporation (CRBC), in 2011 won a $66.7 million contract in Kenya to expand the number of berths at Mombasa port.
Mombasa port is the largest port in east and central Africa’s.
For LAPSSET, Development Bank of Southern Africa (DBSA) is offering $1.5 billion as contribution to the construction.
The building of the Lamu Port berths by China Communications Construction Company will take approximately 3 years.

That $484m is just part of the $689m price tag for phase one which is already complete. That money was used in constructing just the three berths alone. The remaining amount went into building access roads and purchasing tugs at the port. Other projects in phase 1 included building of a police station, Lamu port headquarters, as well as water and power connections, all of which have already been completed. $689m was not for building just the three berths alone. It was to cater for all projects in phase one, the three berths included. Most of the money, however, went into constructing the three berths. Now you know
 
Cost ya 3 berth mlisaini mkataba wa 480m $ 🤔
That $484m is just part of the $689m price tag for phase one which is already complete. That money was used in constructing just the three berths alone. The remaining amount went into building access roads and purchasing tugs at the port. Other projects in phase 1 included building of a police station, Lamu port headquarters, as well as water and power connections, all of which have already been completed. $689m was not for building just the three berths alone. It was to cater for all projects in phase one, the three berths included. Most of the money, however, went into constructing the three berths. Now you know
 
Acha kujifariji wewe kisodaa najua wakenya mnatamani sana iyo miradi isikamilike , alafu mradi wa lpg ushaanza sema umesimamishwa,

Eti 20% done tatizo lako unatumia bichwa lako kubebea kuni out of that 25b how much imekua invested so far sidhani ata kama imefika 1b
Leta evidence kwamba mradi wenu wa LPG ulianza halafu ukasimamishwa. Hatupendi story za vijiweni humu. Aidha uweke evidence au ukae kimya. Ninavyojua mimi mradi wenu ni wa LNG sio LPG. Na huo mradi wa LNG bado haujaanza.
 
Back
Top Bottom