Bruh jiheshimu kamwe usi Double text Huyo sio mwanamke peke yake Duniani

Elon musk ana muda wa kutweet, kutengeneza memes, kujibu watu asiowajua, ku- host space na bado anaendesha makampuni yenye thaman ya dollar Trillion 5.

Halafu demu wako ambae hana hata bikra hajibu WhatsApp text zako kisa yupo busy.

Tafakari chukua hatua, demu anaekupenda utampigia simu aje maskan baada ya mvua kukata lakini atasema usijali nitakuja na mwanvuli.
 
Maneno kuntu , wenye akili watakuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…