Bruno Gomes ni zaidi ya Chama

Utopolo wana shida sana [emoji23][emoji23] yan hako ka Bruno ndo umuweke mzani mmoja na CCC [emoji23][emoji23]
 
Tunashauri aliyekununulia simu achukue haraka kabla hujaharibu zaidi. Ni jinai kumlinganisha chama na upumbafu.Kuna chama mmoja tu.
 
Utoo bhanaaa
Kila mchezaji wanamfananisha na Chama lakini waaaaaapi
Alianza Ajib enzi ilee yuko Utoni
Akaja Fey toto
Mara Aziz
Saa hii huyoo muhindi mwekundu
 
UNGEKUWA NA AKILI TIMAMU UNGEWEKA TAKWIMU.

1. NAMBA HAZIDANGANYI.

2. PIA UNGEELEZA MCHANGO WA WACHEZAJI HUSIKA KWENYE KUIPAMBANIA TIMU.
 
July atakuwa Jangwani.
 
Idadi ya watu wa milembe inaongezeka. Kweli gomez unamlinganisha na chama kweli?
Huyo gomez ameisaidia nn hiyo singida kwenye mafanikio ya mpira?
 
Ungemuuliza tu kuwa huyo Gomes timu Yao ya Taifa anacheza namba ngapi. Ni sawa na Sako anapoitwa huko kwao timu ya Taifa, asipocheza huwezi kusema ni mbovu bali anakutana na wenzake waliomzidi viwango wanacheza ligi kubwa Duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ