Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safari yenu imeishia hapo😁Hao ndo tuliowataka baada ya Mamelodi. Champions League sio shirikisho la Marumo Gallants 😁😁😁
Inachoma ehUtopolo wana shida sana [emoji23][emoji23] yan hako ka Bruno ndo umuweke mzani mmoja na CCC [emoji23][emoji23]
Rivers United 😁😁 😁Safari yenu imeishia hapo😁
Tunashauri aliyekununulia simu achukue haraka kabla hujaharibu zaidi. Ni jinai kumlinganisha chama na upumbafu.Kuna chama mmoja tu.BRUNO GOMES NI ZAIDI YA CHAMA
Hadi sasa Kiugo bora katika ligi Kuu ya NBC ni Bruno Gomes wa Singida Big Stars.
Kuwa kwa namna ambavyo Bruno ameisaidia Singida Big Stars anamzidi hata Clatous Chama kwa sababu kuna wakati Bruno alichezeshwa kiungo wa chini akafanya vizuri na alipopelekwa kiungo wa juu aliendelea kufanya vizuri.
View attachment 2577537
July atakuwa Jangwani.BRUNO GOMES NI ZAIDI YA CHAMA
Hadi sasa Kiugo bora katika ligi Kuu ya NBC ni Bruno Gomes wa Singida Big Stars.
Kuwa kwa namna ambavyo Bruno ameisaidia Singida Big Stars anamzidi hata Clatous Chama kwa sababu kuna wakati Bruno alichezeshwa kiungo wa chini akafanya vizuri na alipopelekwa kiungo wa juu aliendelea kufanya vizuri.
View attachment 2577537
Kama humjui basi pita tuMaufunguo ndo Nani Tena acha kujibu kwa hisia
Ungemuuliza tu kuwa huyo Gomes timu Yao ya Taifa anacheza namba ngapi. Ni sawa na Sako anapoitwa huko kwao timu ya Taifa, asipocheza huwezi kusema ni mbovu bali anakutana na wenzake waliomzidi viwango wanacheza ligi kubwa DunianiHuujui mpira ndiyo maana unaandika utopolo humu.
Katika ligi yetu chanma Ni moja ya viungo bora kuwahi kutokea ktk hii miaka ya karibuni.
Anaweza kukosa namba kutokana na Kuna waliomzidi pia na Zamabia Wana wachezaji wazuri na wanaocheza ligi kubwa.
Swali, ktk ligi ya NBC chama si bora? Ni bora kulingana na ubora wa ligi yetu pia.
Swali, ligi ya Zambia Ni bora kuliko ligi ya Tz?