mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
- Thread starter
-
- #21
Hebu elezea kidogo, Sospeter Bajana na Bryson Raphael lipi ni jina la huyu wa Azam na ilikuwa je?Iyo issue ulikuwa kubwa Hadi jamaa uyu anaitwa Bajana now akawa Haitwi national team
Jina lake halisi ni Hilo la sasa SOSPITER BAJANAHebu elezea kidogo, Sospeter Bajana na Bryson Raphael lipi ni jina la huyu wa Azam na ilikuwa je?
Hii ni JF be free
Huyo Raphael yupo wapi?Jina lake halisi ni Hilo la sasa SOSPITER BAJANA
lile la Raphael alikuwa akitumia Ila sio jina lake
Dah mfuate IG muulize Bajana waga ana respond sana commentsHuyo Raphael yupo wapi?
Ok...wacha mechi mbili hizi zinazofuata nimfuatilie vizuri maana kuna wachezaji wanaupiga mwingi mechi kubwa alafu no show mechi dhidi ya relegation strugglers although kwa sasa ata azam wenyewe ni relegation candidatesπ€£π€£π€£π€£π€£π€£Alikuwa injured Ila ni mtu haswa
Yeye hupenda kujiita Strong Man
Good question...isije ikawa jana msukule ndio ulikuwa unachezaHuyo Raphael yupo wapi?
Mbona Hadi national team alikuwa anaitwa ni mchezaji mwenye consistency Ila tu msimu huu majeruhiOk...wacha mechi mbili hizi zinazofuata nimfuatilie vizuri maana kuna wachezaji wanaupiga mwingi mechi kubwa alafu no show mechi dhidi ya relegation strugglers although kwa sasa ata azam wenyewe ni relegation candidates[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyu hafiki hata nusu ya uwezo wa bwn mdogo Kelvin Nashon ktk Geita gold.UYO STRONG MANView attachment 2230502
hahahaha.Kuna team inatafuta za mezani apo
Unaota we mdadaHuyu hafiki hata nusu ya uwezo wa bwn mdogo Kelvin Nashon ktk Geita gold.
ππππππππNaona jina jipya linamfaa maana jana kawapwlekea moto midfield ya simba balaa
Yule wa kwetu ni David Bryson mkuuSiku zote nilijua yule beki tatu wetu majeruhi pale Jangwani ndiyo huyu! Kumbe nilipuyanga!
Maana kitambo sana hii middle nilikuwa naikubali sana. Ukweli kipaji cha mpira anacho.
Basi siku zote nilikuwa najua yule wa kwetu ndiyo huyu mzee wa kukinukisha pale Azam!Yule wa kwetu ni David Bryson mkuu
Takwimu zinaongea acha matusi kama shoga.Unaota we mdada
Mabantu
Sasa huyo Bryson Raphael yupo wapi na anafanya kazi gani?Azam walimuona katika copa coca cola ya 2011 ambapo kigoma alikua bingwa.
Tatizo likaja kwenye cheti cha kuzaliwa,alikua hana cheti,ikabidi achukue cheti cha ndugu yake ambaye ni Bryson Rafael ili akamilishe deal.