Bryason Raphael na Sospeter Bajana nini kimejificha nyuma ya haya majina

Bryason Raphael na Sospeter Bajana nini kimejificha nyuma ya haya majina

Alikuwa injured Ila ni mtu haswa

Yeye hupenda kujiita Strong Man
Ok...wacha mechi mbili hizi zinazofuata nimfuatilie vizuri maana kuna wachezaji wanaupiga mwingi mechi kubwa alafu no show mechi dhidi ya relegation strugglers although kwa sasa ata azam wenyewe ni relegation candidates🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ok...wacha mechi mbili hizi zinazofuata nimfuatilie vizuri maana kuna wachezaji wanaupiga mwingi mechi kubwa alafu no show mechi dhidi ya relegation strugglers although kwa sasa ata azam wenyewe ni relegation candidates[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbona Hadi national team alikuwa anaitwa ni mchezaji mwenye consistency Ila tu msimu huu majeruhi
 
UYO STRONG MAN
sospeter_bajana04~p~CVpOky0LQ53~1.jpg
 
Azam walimuona katika copa coca cola ya 2011 ambapo kigoma alikua bingwa.

Tatizo likaja kwenye cheti cha kuzaliwa,alikua hana cheti,ikabidi achukue cheti cha ndugu yake ambaye ni Bryson Rafael ili akamilishe deal.
 
Siku zote nilijua yule beki tatu wetu majeruhi pale Jangwani ndiyo huyu! Kumbe nilipuyanga!

Maana kitambo sana hii middle nilikuwa naikubali sana. Ukweli kipaji cha mpira anacho.
Yule wa kwetu ni David Bryson mkuu
 
Unaota we mdada

Mabantu
Takwimu zinaongea acha matusi kama shoga.
Huyo unaemwita strong man hana lolote zaidi anabebwa na K. Muguna na Mudathir. angekuwa na uwezo angeibeba timu yake ipande angalau top 4 sio kukamia mechi kubwa ndio unampgia promo humu.
Hakuna namba 6 anaemfikia Kelvin Nashon kwa sasa nchini takwimu ziko wazi.
 
Azam walimuona katika copa coca cola ya 2011 ambapo kigoma alikua bingwa.

Tatizo likaja kwenye cheti cha kuzaliwa,alikua hana cheti,ikabidi achukue cheti cha ndugu yake ambaye ni Bryson Rafael ili akamilishe deal.
Sasa huyo Bryson Raphael yupo wapi na anafanya kazi gani?
 
Back
Top Bottom