Bryason Raphael na Sospeter Bajana nini kimejificha nyuma ya haya majina

Labda Kama umemjua Jana alishawahi kuwa captain tafuta mechi zake za msimu uliopita utamuona na utamuheshimu
 
Mwanzoni mama alimdanganya kwamba babake ni Raphael ili apate matumizi kwakuwa Bajana alikuwa ohehae. Baada ya Bajana kuzipata pesa mama kabadili gia angani kamwambia baba ni Bajana. Mjini kisomo. Ukizubaa utaliwa.
 
Hahahaha hahaaaaaaaaaaaa... hahahaha 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…