FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 8,600
- 10,760
Labda Kama umemjua Jana alishawahi kuwa captain tafuta mechi zake za msimu uliopita utamuona na utamuheshimuTakwimu zinaongea acha matusi kama shoga.
Huyo unaemwita strong man hana lolote zaidi anabebwa na K. Muguna na Mudathir. angekuwa na uwezo angeibeba timu yake ipande angalau top 4 sio kukamia mechi kubwa ndio unampgia promo humu.
Hakuna namba 6 anaemfikia Kelvin Nashon kwa sasa nchini takwimu ziko wazi.