Bsc architecture,inalipa?

Bsc architecture,inalipa?

So archi ni msanifu tuu?does t mean hakuna application ya mahesabu na fizikia?

Hesabati zipo na fizikia kwa mbali sana

Bulk of it ni sanaa na architectural beauty
 
But kwenye specialization nimmeona architectural engineering!sasa huyu anadeal na saana tu?
 
im QS graduate waweze pia kuja huku 4year only at ardhi unversty at tz, kuhusu arch ni koz nzur lakn inahtaji juhud binafsi za kuipenda na kuwa mbunifu zaid kama jina lake.
 
Zamani wakati wa ujinga na mtaa ukiwa na msomi mmoja tu basi kila jambo hata kwenye level ya familia lilikosa maamuzi hadi aalikwe mwanazuoni kuja kutoa mawazo ya kisomi. Siku hizi imekuwa tofauti!

Enzi zile ARDHI College ya UDSM ikijishughulisha zaidi na kozi za ardhi na Usanifu majengo watu walijituma kwa moyo na kwa kutambua changamoto anuai zilizokuwa kwenye makazi kwa maana ya nyumba na miundombinu yake walisoma kwa moyo ili kuja kukabiliana na changamoto hizo! Leo imekuwa tofauti maana ni mara nyingi sasa utakumbana na mtu akikuuliza ninataka kusoma Medicine hebu niambie kama ina future...hawandio wanakuja kufanyia afya za watu biashara.
 
Kaka ckutaka kukurupuka ndo maana nimeuliza,dont take it the wrong way!
 
Apakak! Ukisoma architecture au kuona courses zake through the five years (depends ni chuo gani) basi naamini utajua ni sanaa na sayansi.
Kuna building economics, building surveying, engineering maths, structures, environmental science, buildings materials etc.. Na husomwa hadi 4th year mostly..
 
mwambie mkuu
 
Mkuu ninaijua Architecture na ninaifahamu Civil engineering vizuri zaidi

Kukesha studio haimaanishi kitu ni kigumu ila kinachukua muda zaidi

Kwa civil ukikutana na vitu kama fluid mechanics,foundation engineering,steel design na RCC(Reinforced Cement Concrete)design ufananishe na kuchezea penseli kuchora plan,front na elevation ni kuikosea heshima civil engineering

Pamoja sana mkuu Darius. Kaandae BOQ

haahaahaa mkuu wee acha tuu...!

ila conclusion ni kwamba hizo ni field moja so wanategemeana katika kazi.

1.client
2.architect(5 years )
3.quantity surveyor(4 years )
4.structural engineer.(4 years?)
na wengineo

so dogo chagua unachokiona kinafaa kutokana na maelezo ya hapo juu ya wadau ila kuhusu kulipa architecture inalipa zaidi speaking of evidence kutoka kwa walimu wangu hapa chuoni ardhi university ...!
 
U shud know
-be ready to spend more time than others during the course of study, watu wanaenda kulala we ndo kwanza idea hujapata.
-u shud b good in analytical thinking (good mathematicians are, knowing the process).
-accept tht studying arch is living it, unaweza angalia mechi ya mpira/movie na huoni mechi bali majengo.
-u'll understand kipindi cha shule ugumu ni kuchora na ukimaliza shule ugumu ni kupata iyo miradi..
-hela ya kula na kuvaa na kuhonga izo hazina shida as soon as 2nd year kama mzuri, ila zile za magari, majumba, ma investments ni 15yrs plus tena ni kama uko serious.
-wa binafsi na wasiopenda kukosolewa hupata shida sana.. Its an interactive proffesion.
-Your design/product will take alot of beating, criticism and changes as a fine tuning. And wen its built and was a poor design, u live to see ur mistake. Unlike a dr mgonjwa anakufa
-the more practical experience the more u become gud, apa tunaongelea muda wakusema mm ni architect na ni mzuri.
-U success is a chain of success.. Ukiharib kitu/ kazi moja dnt expect watu wakupe tena miradi. Maana inapatikana through recomendation (at lower levels) na pia through good records ktk level ya makampuni
-inahitaji other skills kama entrepreunership kuweza kuona opportunities, marketing kuweza kufungua soko lako, accounting kuwez ku manage pesa za msimu etc etc. wako ma architect ambao haijawalipa na hawafurahii wali ishiaga kujua kuchora tu.
-uwe tayar kuanza from the bottom.. Mishahara ya architects firms mingi kwa graduate ni 500-1m, ukizid apo labda uwe una more years huku ukiona firm inaingiza millions..bila
Uvumilivu unakimbia mwezi tu.
-practicising legally ni baada ya kua registered ambayo huchua 2 years with a firm doing exams and reports, huu mchakato wengi huishia njiani.

U wont regret, its the best time nchi bado haijajengwa opportunities kibao, utapata uwanja mpana katika construction industry..

But again
-u wnt know without being in it, tafuta firm ya architect, kaa 2-3months volunteer ata u messenger na kusaidia secretary, upime upepo, its not a field for everyone. Pia nenda pale ardhi univ/ mbeya university of science and tech ama kama una nafasi zaid nenda university of nairob au jomo kenyata kenya. onana na principal/ head of dept na mwombe ushaur, kutana na wanafunz wawili watatu,, uku utapata info ila ki analogue utapata real experience.
 
wow great,nimependa ur analysis,mind opening..
 
Eti kuna mshkaji anasoma civil ananiambia hivi. mtu aliesoma civil anaweza kuafanya kazi ya mtu aliesoma arch lakini mtu aliesoma architecture hawezi kufanya kazi ya mtu wa civil. Eti wakuu hii ni kweli
 
mkuu hio hipo nje ya sheria
kumbuka ili jengo likamilike kuna mihuri ya kuthibitisha hilo kama ifuatavyo
1. architecture
muhuri unatoka architecture and quantity surveyor registration board (AQRB)
2.ERB(Engineering registration board )
3. Quantity surveyor (AQRB)

so kisheria engineer anabanwa kufanya kazi za architect hasa kwa miradi mikubwa
 
asante mkuu nimekuelewa
 
Back
Top Bottom