Father of Chemistry
JF-Expert Member
- May 21, 2021
- 401
- 1,282
- Thread starter
-
- #21
Ahaaa koo kama unaleta utan na elimu bora uachane nayoo tuuu itakupeleka pabaya na kupotezea muda wako bora usomee kozi ingneeInawarudishaga nyumbani hio, shauri yako. Kama slow learner asirogwe kusoma natural science masomo mawili.
Miaka yake mitatu itakuwa ya mateso na anaweza rudi nyumbami bila cheti.
Mkuu hao ni motivation speaker Kama walivyo motivation speaker wa matikiti.Tandabui Wanasema
Waliosoma CO Wanakula Maisha
Dolly Yupo Arusha Kwenye Pharmacy Kubwa
Ni Wengi SanaMkuu hao ni motivation speaker Kama walivyo motivation speaker wa matikiti.
Hajasema amechaguliwa chuo gani, hiyo departmental gpa waliopita udsm conas ndio watakuwa wanaifahamuMkumbushe kitu inaitwa department GPA huko bsc.
Hajasema amechaguliwa chuo gani, hiyo departmental gpa waliopita udsm conas ndio watakuwa wanaifahamu
Oooh sawaaa bossOhooo
Bro ....
Soma unachoweza bro
HIVI UNAJUA WALIOSOMEA MASAYANSI HADI MASAYANSI KIMU
WENGI NI MADALALI NIPO NAO MTAANI
NB: MAENGINEERING TUPO TUPO TU MTAANI TWALA FEGI .View attachment 1917946
Ilibidi uulize kabla hujaichagua. Kwa sasa hakuna msaada utakao pataHellow wana jamii. Nilikuwa nauliza kwa upendo. Je! Bsc. Chemistry kwa hapa nchini([emoji1241]) ni nzuri na ina soko maana mimi ni first year mtarajiwa kusomea hii kozi.
Sawaaa banaaaa bossIlibidi uulize kabla hujaichagua. Kwa sasa hakuna msaada utakao pata
Shukrani sanaa boss🙏🙏🙏🙏Nimesoma hii kozi. Ni kozi nzuri sana na nipo mamlaka ya serikali nakula maisha. Nimemaliza 2017 baada ya mwaka mmoja nikaingia serikali bila koneksheni.
Kapige tu shule mdogo wangu. Ni kozi nzuri. Ukimaliza ukapata sehemu nzuri utakula maisha Sana.
Ina sehemu nyingi za kufanyia kazi usitishwe na wanaokuambia usome education. Watu wengi hawana uelewa na hii kozi ndio maana huishia kusema utakuwa mwalimu.
Ukienda chuo utajua jinsi ilivyo na uwanja mpana wa kazi.
All the best Kapige shule hiyo wakemia tupo wachache
Sent from my vivo 1938 using JamiiForums mobile app
Lipo KiuchocheziHahahahahahahahah×99999999999
Hilo tangazo limekaa kinafki sana.
Hakuna tfda siku hizi usimdanganye dogo.Bsc in chemistry ni kozi nzuri Kama Una connection utakula shavu sana kwa sababu ni kozi inayoingia popote lakin pia ukimaliza unaweza ukaomba ajira idara ya maji, kwa mkemia mkuu(panahitaji connection), NEMC (connection hinaitajika), pharm industry (hapa pana Competition na pharmacy) , mines, TFDA(connection),
Wote wakemia nchini mmeajiliwa au wewe ulibahatisha..dogo bora ukasome tu ila humu wengi waongo..ukute jamaa yupo anajitolea kwa mkemia.Nimesoma hii kozi. Ni kozi nzuri sana na nipo mamlaka ya serikali nakula maisha. Nimemaliza 2017 baada ya mwaka mmoja nikaingia serikali bila koneksheni.
Kapige tu shule mdogo wangu. Ni kozi nzuri. Ukimaliza ukapata sehemu nzuri utakula maisha Sana.
Ina sehemu nyingi za kufanyia kazi usitishwe na wanaokuambia usome education. Watu wengi hawana uelewa na hii kozi ndio maana huishia kusema utakuwa mwalimu.
Ukienda chuo utajua jinsi ilivyo na uwanja mpana wa kazi.
All the best Kapige shule hiyo wakemia tupo wachache
Sent from my vivo 1938 using JamiiForums mobile app
tfda imebadilisha juzi kati kuwa tmda Kama sikosei miaka ya 2019