Nimesoma hii kozi. Ni kozi nzuri sana na nipo mamlaka ya serikali nakula maisha. Nimemaliza 2017 baada ya mwaka mmoja nikaingia serikali bila koneksheni.
Kapige tu shule mdogo wangu. Ni kozi nzuri. Ukimaliza ukapata sehemu nzuri utakula maisha Sana.
Ina sehemu nyingi za kufanyia kazi usitishwe na wanaokuambia usome education. Watu wengi hawana uelewa na hii kozi ndio maana huishia kusema utakuwa mwalimu.
Ukienda chuo utajua jinsi ilivyo na uwanja mpana wa kazi.
All the best Kapige shule hiyo wakemia tupo wachache
Sent from my vivo 1938 using
JamiiForums mobile app