Bsc. Chemistry ni nzuri?

Bsc. Chemistry ni nzuri?

Inawarudishaga nyumbani hio, shauri yako. Kama slow learner asirogwe kusoma natural science masomo mawili.
Miaka yake mitatu itakuwa ya mateso na anaweza rudi nyumbami bila cheti.
Ahaaa koo kama unaleta utan na elimu bora uachane nayoo tuuu itakupeleka pabaya na kupotezea muda wako bora usomee kozi ingnee
 
Ohooo
Bro ....
Soma unachoweza bro

HIVI UNAJUA WALIOSOMEA MASAYANSI HADI MASAYANSI KIMU
WENGI NI MADALALI NIPO NAO MTAANI
NB: MAENGINEERING TUPO TUPO TU MTAANI TWALA FEGI .
JamiiForums2020119822.jpg
 
Nimesoma hii kozi. Ni kozi nzuri sana na nipo mamlaka ya serikali nakula maisha. Nimemaliza 2017 baada ya mwaka mmoja nikaingia serikali bila koneksheni.

Kapige tu shule mdogo wangu. Ni kozi nzuri. Ukimaliza ukapata sehemu nzuri utakula maisha Sana.

Ina sehemu nyingi za kufanyia kazi usitishwe na wanaokuambia usome education. Watu wengi hawana uelewa na hii kozi ndio maana huishia kusema utakuwa mwalimu.

Ukienda chuo utajua jinsi ilivyo na uwanja mpana wa kazi.

All the best Kapige shule hiyo wakemia tupo wachache

Sent from my vivo 1938 using JamiiForums mobile app
 
Shukrani sanaa boss🙏🙏🙏🙏
 
Bsc in chemistry ni kozi nzuri Kama Una connection utakula shavu sana kwa sababu ni kozi inayoingia popote lakin pia ukimaliza unaweza ukaomba ajira idara ya maji, kwa mkemia mkuu(panahitaji connection), NEMC (connection hinaitajika), pharm industry (hapa pana Competition na pharmacy) , mines, TFDA(connection),
Hakuna tfda siku hizi usimdanganye dogo.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesoma hii kozi. Ni kozi nzuri sana na nipo mamlaka ya serikali nakula maisha. Nimemaliza 2017 baada ya mwaka mmoja nikaingia serikali bila koneksheni.

Kapige tu shule mdogo wangu. Ni kozi nzuri. Ukimaliza ukapata sehemu nzuri utakula maisha Sana.

Ina sehemu nyingi za kufanyia kazi usitishwe na wanaokuambia usome education. Watu wengi hawana uelewa na hii kozi ndio maana huishia kusema utakuwa mwalimu.

Ukienda chuo utajua jinsi ilivyo na uwanja mpana wa kazi.

All the best Kapige shule hiyo wakemia tupo wachache

Sent from my vivo 1938 using JamiiForums mobile app
Wote wakemia nchini mmeajiliwa au wewe ulibahatisha..dogo bora ukasome tu ila humu wengi waongo..ukute jamaa yupo anajitolea kwa mkemia.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom