BSc. in Chemistry vs Nursing

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,170
Reaction score
7,665
Guyz mara nyingi wahenga walisema ukitaka kuruka ni lazima uagane na nyongaa na muonja chakula haoinji mara moja.

Sasa hapa nilipo nashindwa kufanya maamuzi sahihi kwa sababu mm ni bado mdogo kielimu hata kimaisha bado akili yangu haipo poa coz sija hata ajiriwa ndo kwanza nategemea kwenda chuo mwaka wa kwanza.

Sasa nilikuwa naombeni mnisaidie kati ya Bsc of SCIENCE IN CHEMISTRY NA NURSING IPI IKO VIZURI KIA AJIRA NA HATA MSHAHARA WAKE UPO VIPI nataka nifanye transfer ya chuo so naombeni mnisaidie jamani kwa wote wanao jua na wenye ushaur wowote uleeee.

Plz naombeni mnisaidie ili mambo yake poa.

KARIBUNI
 

kaka nersing iko fresh sanaa hata ajira yake ni ya uhakika ila iyo bsc.science in chemistry utaishia tu kuwa mwalimu wa tempo au tution centre.

Bora hata ingekuwa n ualimu ila coz hii hutakuwa mwl. by professional
 
nursing diploma wanalipwa almost si chin ya laki sita na wakat mwalimu wa degree analipwa laki tano na haiwez zidi sana zaid ya hapo.

Assume umepiga degree ya nursing, unadhan utakuwa wapi kimshahara.

Hiyo changamoto kwako amua uende wapi ila me naona nursing iko poa kama unatafuta mshahara mkubwa.
 
!
!
ni hatari sana kusoma kwa kutegemea ajira. Elimu ituwezeshe kutanua upeo ili tuweze kupambana, ikiwemo kujiajiri. Kuwaza ajira tu,mh......
 
Kwan unasoma ili upate nn ndudu yangu ci ajira au kina kingine nenda nursing tu ndo mpango
 

Asante kk coz hii bongo sahizi ukisema cjui ujiajiri cjui nn utaishia kushangaaa thankx kk
 
!
!
ni hatari sana kusoma kwa kutegemea ajira. Elimu ituwezeshe kutanua upeo ili tuweze kupambana, ikiwemo kujiajiri. Kuwaza ajira tu,mh......

Kaka hii ni tanzania nikitaka elimu inisaidie nisi ajiriww nisubiri kujiajiri mmm haitakuwa poa aiseee
 
Dogo dogo dogo kuna ndugu yangu anasugua bench mpaka leo yeye Bc physics.

Piga Nursing kwa maendeleo ya maisha yako utakuwa juu sana kimaisha.
 
piga bachelor of science in chemistry hata ukiwa mwl utajiajil na utafungua tution centre na itakulipa tu.....

mfano.topic moja ya chemistry rafik angu alifundishwa kwa elf 20-25 kwa kichwa je wakiwa 25

jiongeze sasa
hapo
 
Nursing. Unaweza fungua na duka la dawa, unaweza piga part time za kutosha, inalipa iwe mjini au kijijini.ila ujiandae kutumwa na Dk.

Haya za mbayuwayu changanya.....
 
Kama unachojali ni pesa na sio hadhi katika jamii na hatari za mazingira ya kazi basi nakushauri upige nursing!

Certificate tu ya nursing(mwenye miaka 6 kazini)mshahara wake basic ni laki 9! Ukiona bongo michosho nenda kwa Obama ukalee wazee na mshahara wake sio kidogo(uhakika wa kazi kwa nesi mwenye digrii USA hata ukitaka leo!)

Hapa bongo ni uuguzi una hadhi sawa na mgambo wa jiji hasa kama jinsia yako ni ya kiume!
 
Dogo njoo tupige kemia mambo ya kuwa muuguzi ya nini
 

hadhi sawa na mgambo wa jiji.....!
Mmm!

Kama vipi aje kuonana na akina Prof. Mhinzi, Prof. Othman, Dr. Mdoe, Dr. Mahugija, Dr. Mgina, Dr. Nyandoro, Dr. Mdachi, n.k pale mjengoni (UDSM). Ila lazma adakwe na Dr. Mdachi kwenye enantiomeric excess!
 
hadhi sawa na mgambo wa jiji.....!
Mmm!

Kama vipi aje kuonana na akina Prof. Mhinzi, Prof. Othman, Dr. Mdoe, Dr. Mahugija, Dr. Mgina, Dr. Nyandoro, Dr. Mdachi, n.k pale mjengoni (UDSM). Ila lazma adakwe na Dr. Mdachi kwenye enantiomeric excess!

Bila kumsahau Dr Philip na kozi yake ya organic spectroscopy and electron structure mwaka huu kadaka 27 kati ya 50
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…