BSc in Textile Engineering yavamiwa UDSM

Babumawe

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2014
Posts
2,556
Reaction score
2,571
Duu kweli siyo utani kabisa nimewaona wengi wenye daraja la nne wapo COET pale kwenye kozi kama bsc textile design and technology nk.
 
We acha kudanganya mbele ya umma udsm ajachukuliwa kilaza pale. tatizo we hulikosa sifa za kuja hapo
 
Four is granted when one scores at least two D's, D ni 30 hadi 40. Hiyo inafanana na E ya kipindi chetu 36 hadi 44. Hata hivyo E mbili kwetu zilikuwa ni div 3. Mungu saidia wamalize salama COET.
 
safii sana Mkuu nahic atakuwa amekuelewa, wengine wanakuwa hawajafuatilia vitu na wanaanza kuongea tuu lolote liwatokalo mdomoni,,afu cdhani kama anajua kuwa div 3 ya mwaka huu mwisho point 13 na wakati ilikuwa mwisho point 17,,!!!!!!!!!

chek vitoto vya brn vinavyodanganyana wewe ulishawahi sikia miaka ya nyuma ufaulu wa fm6 dvsn 1 mpaka 3 ikawa n 95% ya watahiniwa wote??

Na kwa taarifa yako kwenye waraka wa kubadili alama na madaraja uliotolewa mwakajana unaonyesha E iliyokuwa inatumiwa na baraza n 45-55 na sio 35-45
 
Kama kawa kama dawa mwaka jana TO mwenyew ana C ya phyz nailikuwa si mchezo esabu ye2 ukichomoka Na E we mnyamaa!
 

Big up mkuu wise words. Maana ni walimbukeni wa UDSM. Kama UDSM ndo kama hivyo mnavyokitreat basi kingejengwa angani ili kisishabihiane na vyengine.

Watu wanasoma nchi za watu huko zilizoendelea sembuse UD.
 
acha ujinga kilaza wewe!four ni ufaulu kwani vipi una ONE NINI YA BRN?UDSM UMEONA NI CHUO KILIOKUJA NA YESU.WE VIPI USIWE UNAFANYA KITU BILA UFIKIRI.
Udsm chuo bora ww kwa tz ckutegemea zle four zngeonekana pale nlitegemea vyuo vingne huko ww ndo kilaza xaxa
 
Udsm chuo bora ww kwa tz ckutegemea zle four zngeonekana pale nlitegemea vyuo vingne huko ww ndo kilaza xaxa

inategemea nenda sheria wameishia point 11 kwaio ni one ya 7 mwisho
 
We acha kudanganya mbele ya umma udsm ajachukuliwa kilaza pale. tatizo we hulikosa sifa za kuja hapo
Usiongee k2 bila kufanya uchunguz ww kilaza ckia ww fungua poct za udsm kama una laptop najua hauna ndo mana hujui knachoendelea nenda cafe kaaangalie ndo uje kutoa hoja hapa
 
Duu kwel c utani kabisa nimewaona wengi wenye div four wapo coet pale kwny kozi kama bsc textile design and technology nk

textile unategemea mtu mwenye ufaulu wajuu achague ii kitu? Ndo maana hakukua na ushindani
 
SaWa JoMbAa!
 
mbn had daraxa la xaba pia nackia anaweza chaguliw udsm tena facat kama law na nyngn!mnaxhangaa four ya 4m 6 kwenda udsm,bt kuna w2 wataikataa hii.
 
wewe ni muanga wa BRN,UNAKLEM KUWA NA AKILI KILAZA!FOUR NI UFAULU,ONE ULIYONAYO SASA NI FOUR YA 2013.

we ulipata ngapi? Na kwanini umekosa udsm au kadiploma kanasoma 2.4 nini? Nijibu
 
mbn had daraxa la xaba pia nackia anaweza chaguliw udsm tena facat kama law na nyngn!mnaxhangaa four ya 4m 6 kwenda udsm,bt kuna w2 wataikataa hii.

law my foot r.p.l hawapati ile kitu udsm labda certificate chuo cha polisi kurasini kwa wanapolisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…