Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ipi io mkuu
ha ha ha ha....na wengi wao huwa wanishia kudiss!!!!halafu inapain,,,,
nakumbuka uliwahi post hapa the way ulivokuwa umechagua courses zako...zote zilikuwa LAW related....which means unajua unachokifanya na unachokitaka pia....thumbs up!!!!
Udsm chuo bora ww kwa tz ckutegemea zle four zngeonekana pale nlitegemea vyuo vingne huko ww ndo kilaza xaxa
Hii ni baada ya watu wengi wenye div 4 ya point 14 kufurika katika course hiyo,ukianzia mtu wa kumi na saba kwenye coz hiyo hadi mtu wa 22,wote wana div 4.
Kwa sabab udsm mwaka jana kiliingia top 10 africa najua ulikuwa hujui ndo nmekufundixha ivoKama hukutegemea four zionekane ud kwanini ulitaka zionekane kwingine? nini cha zaidi ud kipo? KWA KUKUSHAURI TU, HAKIKISHA UMEJIFUNZA KUANDIKA KABLA HUJAENDA CHUONI!!
naona vijana asubuhi asubuhi tu mnaanza kulingishiana vyuo...mmeamka na viroba nin kichwani?
Kwa sabab udsm mwaka jana kiliingia top 10 africa najua ulikuwa hujui ndo nmekufundixha ivo