BSc in Textile Engineering yavamiwa UDSM

BSc in Textile Engineering yavamiwa UDSM

hivi kihombo yule TO alotoka tosa PCM 2006 akawa anasoma Tele yuko wapi? ntafutieni mumuulize one na four zinamatter vipi chuo? acheni ulimbukeni.

huyo mtu ndo anaingia 2nd year mwaka huu...yule pale CoET...
 
chek vitoto vya brn vinavyodanganyana wewe ulishawahi sikia miaka ya nyuma ufaulu wa fm6 dvsn 1 mpaka 3 ikawa n 95% ya watahiniwa wote?? Na kwa taarifa yako kwenye waraka wa kubadili alama na madaraja uliotolewa mwakajana unaonyesha E iliyokuwa inatumiwa na baraza n 45-55 na sio 35-45

BRN ni nini mkuu? Ni mfumo wa kufaulisha waliofeli? Mnataka kusema hakuna waliostahili kufaulu? Alaf mbona div0 pia zipo au wao hawana BRN?
Grade za matokeo za baraza huwa hazipo fixed. Hutegemeana na ufaulu wa huo mwaka. Kuna wakati A inaanzia 76-100... Walimu baada ya kusahisha mitihan ndo wanasuggest grade then zinaenda kufanyiwa kazi. Zikiwa poa znatumika, zikizingua baraza linaweka grade zake.
 
Nyie ndio mna mnakuja kuchanganyikiwa nyie!! unayemwona ana four ndio anakuja kukukimbiza darasani, utakomaje? jua huko ni chuoni sasa wewe endelea kufwatilia watu uone mwisho wake!! FWATA YANAYOKUHUSU WEWE MTOTO!!

Big up mkuu.
 
UDSM walishawah kutengeneza gar? je umeme mbadala baada ya kila siku kupanda bei? kuna sayans mpya imevumbuliwa pale? hizo ndo sifa za chuo bora wana invent, wanatoa watu mashuhur na sio wala rushwa na porojo la tanzania linaanza UDSM linamaliza serikalin

Mkuu we ni Great Thinker.
 
Sipingani na mawazo yenu yote ila kama ni mtu unaewaza kwa undani kuna shida kubwa sana katika elinu ya chuo kuanzia mwaka huu ambapo hata div. 2 haina soko katika ubora wa elimu. Kizazi hiki kilichoongoza kufaulisha kidato cha sita ndio kitakachoongoza kusap na kudisco huko vyuoni. Kuna historia itawekwa na hiki kizazi cha kikwete. Naona hata ukibisha kwa sasa subiri uingie chuoni.

Wewe naona uliingia chuo na div3 ya 15 sasa unaanza kujifariji, ukilaza wako jilahum mwenyewe bwana mdogo pia acheni ligi za vyuo hazijengi.
 
chuo hamna ushindani tafta gpa nzuri tu ww ingia na div1 yko hamna atakayejali mwisho wte mwenye 1 na 4 mtamaliza chuo gpa na connection kwny sector ya ajira ndo vita matter
 
ngoja mi nijipange na busnes zangu ili niwe bakharesa. af tuone uo u Udsm Utakua Na maana Gani Kwangu,
 
Kama kawa kama dawa mwaka jana TO mwenyew ana C ya phyz nailikuwa si mchezo esabu ye2 ukichomoka Na E we mnyamaa!

kwel we kilaza wa mathematics ile pepa yenu unasema ilikuwa tough! Daah akat wadago zako walisolve siku ile ile unamaliza pepa na kuscore B
 
Back
Top Bottom