2nazungumzia result la six ww uliza kwanza acha kuropoka!Acheniii uku...... Nyie saa ulitaka wewe ndo uchaguliwe.... Ukiona kachaguliwa ujue ana vigezo.
Wengine wamesoma certificate na diploma utamlinganishaa na wew e ulie toka 4me 6 kwa kupanuliwa golii....
Usiongee k2 bila kufanya uchunguz ww kilaza ckia ww fungua poct za udsm kama una laptop najua hauna ndo mana hujui knachoendelea nenda cafe kaaangalie ndo uje kutoa hoja hapa
maisha ya nje ni tofauti na mnacho kifanya huko chuo.
ya nje mazuri zaidi kama ulifanya chaguo sahihi chuoni
Mkuu umepata LLB UDSM?
Duu ImEaNzA LiN iYo jOmBaaa!
law enforcement
Hongera sana aisee.....nilipenda determination yako
Dah!M2 akichaguliwa kusoma udsm tayari imekuwa shinda.............sasa angechakuliwa harvad ingekuaje sasa.
kAmA uNaEleWa 2AmBieE jOmBaA! nAc 2jUe