BSc in Textile Engineering yavamiwa UDSM

Karibu kwenye hati hati udsm ww kama umechaguliwa,kwan udsm siyo lelemama, ila kwa wenye div 4,SIWAKATISHI TAMAA TENA SIWAPI MATUMAIN Kwani ukizubaa swala la kuliwa kichwa ni kawaida!
 
ipi io mkuu

nakumbuka uliwahi post hapa the way ulivokuwa umechagua courses zako...zote zilikuwa LAW related....which means unajua unachokifanya na unachokitaka pia....thumbs up!!!!
 
Karibu kwenye hati hati udsm ww kama umechaguliwa,kwan udsm siyo lelemama, ila kwa wenye div 4,SIWAKATISHI TAMAA TENA SIWAPI MATUMAIN Kwani ukizubaa swala la kuliwa kichwa ni kawaida!
Kuliwa kichwa ndo nn?
 
naona vijana asubuhi asubuhi tu mnaanza kulingishiana vyuo...mmeamka na viroba nin kichwani?
 
nakumbuka uliwahi post hapa the way ulivokuwa umechagua courses zako...zote zilikuwa LAW related....which means unajua unachokifanya na unachokitaka pia....thumbs up!!!!

nashkuru mkuu
 
kwani hawajafaulu bhanatuwe tuna waheshimu na wenzetu n bahati yao kwenda na hawakukata tamaa wakaply bhana so tuwasapoti na sikuwazalilisha eti wenye dvsn 4 hili ndilo tatizo kubwa la watanzania
 
Udsm chuo bora ww kwa tz ckutegemea zle four zngeonekana pale nlitegemea vyuo vingne huko ww ndo kilaza xaxa

Kama hukutegemea four zionekane ud kwanini ulitaka zionekane kwingine? nini cha zaidi ud kipo? KWA KUKUSHAURI TU, HAKIKISHA UMEJIFUNZA KUANDIKA KABLA HUJAENDA CHUONI!!
 
Hii ni baada ya watu wengi wenye div 4 ya point 14 kufurika katika course hiyo,ukianzia mtu wa kumi na saba kwenye coz hiyo hadi mtu wa 22,wote wana div 4.

Nyie ndio mna mnakuja kuchanganyikiwa nyie!! unayemwona ana four ndio anakuja kukukimbiza darasani, utakomaje?

Jua huko ni chuoni sasa wewe endelea kufwatilia watu uone mwisho wake!! FWATA YANAYOKUHUSU WEWE MTOTO!!
 
Mungu kiokoe kizazi hiki maana ni kiza kinene mbele yake kila kitu kinaenda sivyo
 
Kwahyo ulitaka wasiwe admitted hata kama wana vigezo..,Fanya yako kijana...,
 
Kama hukutegemea four zionekane ud kwanini ulitaka zionekane kwingine? nini cha zaidi ud kipo? KWA KUKUSHAURI TU, HAKIKISHA UMEJIFUNZA KUANDIKA KABLA HUJAENDA CHUONI!!
Kwa sabab udsm mwaka jana kiliingia top 10 africa najua ulikuwa hujui ndo nmekufundixha ivo
 
UDSM walishawah kutengeneza gar? je umeme mbadala baada ya kila siku kupanda bei? kuna sayans mpya imevumbuliwa pale?

Hizo ndo sifa za chuo bora wana invent, wanatoa watu mashuhur na sio wala rushwa na porojo la tanzania linaanza UDSM linamaliza serikalin
 
hivi kihombo yule TO alotoka tosa PCM 2006 akawa anasoma Tele yuko wapi? ntafutieni mumuulize one na four zinamatter vipi chuo? acheni ulimbukeni.
 
ufaulu wa mtu si uwezo halisia wa akil yake wangap waliachwa na vyuo wakawa wazur? bill gates. abromovich. fb founder na weng 2 watanzania bado akil zetu zipo moton ati UDSM kuna div 4 ? c wendawazimu nn sasa?
 
Kwa sabab udsm mwaka jana kiliingia top 10 africa najua ulikuwa hujui ndo nmekufundixha ivo

Bado kuna safari ndefu sana katika maendeleo ya mwanadamu wa Tanzania kama tuwatemeao katika maendeleo ya nchi wana mawazo kama haya!!! safari njema na udsm yako!!
 
Division yako ya haichanganyikani na uwezo wako wa huku mbele.kwani wote wataanza soma pamoja na matokeo yatatafutwa kulingana na mitihani yao.sasa wewe kelele zako zanini.?pia fahamu kuwa mtihani wa siku sio kipimo chakuweza fahamu uwezo wa mtu kiakili au kiufahamu.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Sipingani na mawazo yenu yote ila kama ni mtu unaewaza kwa undani kuna shida kubwa sana katika elinu ya chuo kuanzia mwaka huu ambapo hata div. 2 haina soko katika ubora wa elimu. Kizazi hiki kilichoongoza kufaulisha kidato cha sita ndio kitakachoongoza kusap na kudisco huko vyuoni.

Kuna historia itawekwa na hiki kizazi cha kikwete. Naona hata ukibisha kwa sasa subiri uingie chuoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…