BSc in Textile Engineering yavamiwa UDSM

hivi kihombo yule TO alotoka tosa PCM 2006 akawa anasoma Tele yuko wapi? ntafutieni mumuulize one na four zinamatter vipi chuo? acheni ulimbukeni.

huyo mtu ndo anaingia 2nd year mwaka huu...yule pale CoET...
 

BRN ni nini mkuu? Ni mfumo wa kufaulisha waliofeli? Mnataka kusema hakuna waliostahili kufaulu? Alaf mbona div0 pia zipo au wao hawana BRN?
Grade za matokeo za baraza huwa hazipo fixed. Hutegemeana na ufaulu wa huo mwaka. Kuna wakati A inaanzia 76-100... Walimu baada ya kusahisha mitihan ndo wanasuggest grade then zinaenda kufanyiwa kazi. Zikiwa poa znatumika, zikizingua baraza linaweka grade zake.
 
Nyie ndio mna mnakuja kuchanganyikiwa nyie!! unayemwona ana four ndio anakuja kukukimbiza darasani, utakomaje? jua huko ni chuoni sasa wewe endelea kufwatilia watu uone mwisho wake!! FWATA YANAYOKUHUSU WEWE MTOTO!!

Big up mkuu.
 

Mkuu we ni Great Thinker.
 

Wewe naona uliingia chuo na div3 ya 15 sasa unaanza kujifariji, ukilaza wako jilahum mwenyewe bwana mdogo pia acheni ligi za vyuo hazijengi.
 
chuo hamna ushindani tafta gpa nzuri tu ww ingia na div1 yko hamna atakayejali mwisho wte mwenye 1 na 4 mtamaliza chuo gpa na connection kwny sector ya ajira ndo vita matter
 
ngoja mi nijipange na busnes zangu ili niwe bakharesa. af tuone uo u Udsm Utakua Na maana Gani Kwangu,
 
Kama kawa kama dawa mwaka jana TO mwenyew ana C ya phyz nailikuwa si mchezo esabu ye2 ukichomoka Na E we mnyamaa!

kwel we kilaza wa mathematics ile pepa yenu unasema ilikuwa tough! Daah akat wadago zako walisolve siku ile ile unamaliza pepa na kuscore B
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…