BSS Final hamkuwa na haja ya kuleta wa Nigeria!

BSS Final hamkuwa na haja ya kuleta wa Nigeria!

Sawa nimekusikia nifah na ndo mana wajuzi wa mambo kutoa ubishani usiokuwa na msingi kama huu ndo mana wakaweka kitu kinachoitwa tuzo ili washindanishwe si kuongea hisia zako ila washindanishwe na katika kipengele cha live perfomer kwa tuzo za MTV AFRICAN MUSIC AWARD IKAENDA KWA DIAMOND PLATINUMZ hii ni kwamba haijalishi wewe unampenda au unamchukia ila ndo imeshakuwa hivo umetaka haujataka tuzo tayari anayo atuongelei hadithi ila tunaongelea kitu kilichopo kwa sasa


Tutolee ujinga wako.
Unafundishwa lakini huelewi.
Kuwa nominated ni tofauti na uhalisia.
 
Last edited by a moderator:
Tutolee ujinga wako.
Unafundishwa lakini huelewi.
Kuwa nominated ni tofauti na uhalisia.
Anzisha forum yako ukiona mtu anaongea kitu kilicho nje ya akili yako unafuta, ila hapa ni kwa kila mtu kwa sisi tunaoongea kitu kilichopo na kimeshatokea na hata nyinyi munaoongea hisia zenu na vya kufikilika wooooote panatuhusu.
 
Back
Top Bottom