kedrick
JF-Expert Member
- Apr 25, 2015
- 5,080
- 4,914
Haaah yupo yamoto band yule BSS ilikuwa ni platform ya kumjenga na kumjua tu
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Babu tale na fella wanafanya huu mziki ni wa kwao ila wanavyofanya sio vizuriHaaah yupo yamoto band yule BSS ilikuwa ni platform ya kumjenga na kumjua tu
Babu tale na fella wanafanya huu mziki ni wa kwao ila wanavyofanya sio vizuri
Sawa nimekusikia nifah na ndo mana wajuzi wa mambo kutoa ubishani usiokuwa na msingi kama huu ndo mana wakaweka kitu kinachoitwa tuzo ili washindanishwe si kuongea hisia zako ila washindanishwe na katika kipengele cha live perfomer kwa tuzo za MTV AFRICAN MUSIC AWARD IKAENDA KWA DIAMOND PLATINUMZ hii ni kwamba haijalishi wewe unampenda au unamchukia ila ndo imeshakuwa hivo umetaka haujataka tuzo tayari anayo atuongelei hadithi ila tunaongelea kitu kilichopo kwa sasa
Anzisha forum yako ukiona mtu anaongea kitu kilicho nje ya akili yako unafuta, ila hapa ni kwa kila mtu kwa sisi tunaoongea kitu kilichopo na kimeshatokea na hata nyinyi munaoongea hisia zenu na vya kufikilika wooooote panatuhusu.Tutolee ujinga wako.
Unafundishwa lakini huelewi.
Kuwa nominated ni tofauti na uhalisia.
Na Ali Kibaka je?