BSS ina uchawi gani?mbona wengi hawafanikiwi?

Umeanza vizuri ila mwisho umechamba mkuu
 
Something very brilliant
 
Gazeti refu lkn linaeleweka mkuu[emoji106] [emoji106]
 
lakini cloudz wanajitahidi sana na super nyota..
masupa nyota wengi wako kwenye game, kina rubby/ young killer
 
Hebu niambieni alipo Bella Kombo, last time niliona habari ya kwamba amepata mtoto, was 2013 nadhani!
 
Sio BSS tu nilifatilia sana mpaka za nje hua maranyingi watu wanaotokea kwenye mashindano haya ya muziki hawahimili solo au ushindani wa muziki na ufamous who hua unaishia baada ya show kuisha" wanasahaulika
Angalia Tusker Project Fame kina Alpha na wengne wakapita aliyemantain ni msechu 2 na yy juzi kdogo aache muziki.
Hata zile American idol British got talent ni hvo hvo
 
Wao wanafata taratibu za mziki sijui utaalamu wa sauti kuimba na vingine...

Mtaa hauangalii utaalamu wa mziki huku angalia watu wanataka nini, ndo mana hata singeli inatamba, mpoto anaongea tu anatamba...

Mziki ni zaidi ya do re mi fa so la ti do.
 
Nashani iandaliwe programe nyingine ya kuwaendeleza baada ya mashindano hasa kwa namba moja hadi tano,na wawe chini ya management nzuri,mf kama walivyo One Direction
 
Nashani iandaliwe programe nyingine ya kuwaendeleza baada ya mashindano hasa kwa namba moja hadi tano,na wawe chini ya management nzuri,mf kama walivyo One Direction
Kweli kabisaaaa ,watu wengi ss hv hawajali cha ujumbe wala nini wanachojali huo mziki unachezeka tu bhasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…