Budget ya 1.2M ninunue TV gani?

Budget ya 1.2M ninunue TV gani?

Kwa Mujibu wa mkwawa, Hizi zinazotengenezwa kwa ajili ya Africa ubora haupishani sana ukiacha hizi Mo tech, Star X na wa aina yake. Chukua yoyote tu kati ya LG Samsung Hisense TCL au Sony. Kama mfuko mrefu tuagize wote AIWA Japan😄
 
Sony nawakubali kwa sound tu, kwa picha lg na samsung wako kwenye ligi yao tofauti kabisa
Sony The digital is yours sidhani kama wapo daraja moja na hao uliowataja Mkuu.
Yaani Sony ya 2024 na LG au Samsung ya mwaka huu hawawezi kufanana kabisa.
 
Daah ila hii ngozi nyeusi na mavioo sijui tulirogewa hapo na mzungu, sio Vioo vya kujitazama enzi za Mangungo sio Screen smartphones wala video matv yani mtu yupo radhi ale kwa shida ila geto pakae mkao.
Hiyo pesa nunua mashone ya kutotoreshea mayai ya kuku utakuja kunishukuru ila kama hiyo TV unaenda kuweka sehem ya biashara kama banda la mpira, PS, betting station au mgahawani ama bar ni safi kabisa.
 
Wauza

Wauza TV pia ni wafanyabiashara na wanahitaji wateja.
Mtu kama kipaumbele chake ni TV, let it be, maisha ni mafupi, watu waenjoy. Sio sheria kwamba kila mtu awe mfanyabiashara au mjasiriamali.
 
Sahih.
 
Back
Top Bottom