Budget ya Singapore ya mwaka 2025/2026 ni kubwa mno kuliko Budget ya Tanzania

Budget ya Singapore ya mwaka 2025/2026 ni $143.1 billion wakati ya Tanzania ya mwaka 2024/2025 ni $19 billion

Sisi ni wehu ama nini, Singapore ni ndogo sana tena sana jaribu kufikiri kwamba Dar es Salaam ni kubwa kuliko nchi nzima ya Singapore.

Kama sio wehu sisi wakina nani sasa ?

Umanaanisha sisi Na Mheshimiwa ?
 
Budget ya Singapore ya mwaka 2025/2026 ni $143.1 billion wakati ya Tanzania ya mwaka 2024/2025 ni $19 billion

Sisi ni wehu ama nini, Singapore ni ndogo sana tena sana jaribu kufikiri kwamba Dar es Salaam ni kubwa kuliko nchi nzima ya Singapore.

Kama sio wehu sisi wakina nani sasa ?
😅😅😅😅😅Daaah unafananisha tz na singapore
 
Budget ya Singapore ya mwaka 2025/2026 ni $143.1 billion wakati ya Tanzania ya mwaka 2024/2025 ni $19 billion

Sisi ni wehu ama nini, Singapore ni ndogo sana tena sana jaribu kufikiri kwamba Dar es Salaam ni kubwa kuliko nchi nzima ya Singapore.

Kama sio wehu sisi wakina nani sasa ?
Hakuna uwehu wowote hapo, ni sawa tu!!!
 
Budget ya Singapore ya mwaka 2025/2026 ni $143.1 billion wakati ya Tanzania ya mwaka 2024/2025 ni $19 billion

Sisi ni wehu ama nini, Singapore ni ndogo sana tena sana jaribu kufikiri kwamba Dar es Salaam ni kubwa kuliko nchi nzima ya Singapore.

Kama sio wehu sisi wakina nani sasa ?
Utaambiwa uhamie Singapore. 😂😂
 
Budget ya Singapore ya mwaka 2025/2026 ni $143.1 billion wakati ya Tanzania ya mwaka 2024/2025 ni $19 billion

Sisi ni wehu ama nini, Singapore ni ndogo sana tena sana jaribu kufikiri kwamba Dar es Salaam ni kubwa kuliko nchi nzima ya Singapore.

Kama sio wehu sisi wakina nani sasa ?

Sasa nchi ya Dunia ya kwanza na ya tatu zitakuwa sawa Kuna machawa wanasema tuna uchumi mkubwa. Kuna mmoja anaweka picha ya Castro! Hata hamjui Castro vizuri

ChoiceVariable
Tlaatlaah
 
Budget ya Singapore ya mwaka 2025/2026 ni $143.1 billion wakati ya Tanzania ya mwaka 2024/2025 ni $19 billion

Sisi ni wehu ama nini, Singapore ni ndogo sana tena sana jaribu kufikiri kwamba Dar es Salaam ni kubwa kuliko nchi nzima ya Singapore.

Kama sio wehu sisi wakina nani sasa ?
Bila kuiondoa CCM madarakani Tanzania itaendelea kufukarika tu kwani CCM kipaumbele chao ni kuendelea kutawala tu kwa gharama yoyote ila ndiyo maana hela nyingi zinatumika katika utawala.
 
Budget ya Singapore ya mwaka 2025/2026 ni $143.1 billion wakati ya Tanzania ya mwaka 2024/2025 ni $19 billion

Sisi ni wehu ama nini, Singapore ni ndogo sana tena sana jaribu kufikiri kwamba Dar es Salaam ni kubwa kuliko nchi nzima ya Singapore.

Kama sio wehu sisi wakina nani sasa
Kama kilichojaa ndani ya vichwa vya watz wengi ni ngono, pombe, diamond, zuchu, Simba na Yanga pamoja na uchawa usitegemee maajabu. Utajiri mkubwa ni rasimali watu iliyo na akili sahihi.
 
"Tunataka kuona katika Taifa hili, vijana jeuri na wenye kujiamini, si vijana waoga, akina "ndiyo bwana mkubwa", vijana wanaohoji na kupiga vita mifumo ya jamii isiyoshabihiana na matakwa na matarajio ya jamii ya kitanzania. Tunataka vijana waasi dhidi ya mifumo kandamizi, ubwana na ufisadi katika Taifa"

Mwl J.K. Nyerere, Rais wa Kwanza wa Tanzania
Uliza enzi za huyu dingi hao vijana jeuri walichofanywa. Viongozi wengi wa kiafrika ni wazuri kwenye kuongea sio kutenda wanachoongea.
 
Sababu ni kua Singapore ina waislamu wengi sana,kuloko wakristo------haushangai kwa nini?bajeti ya zanzibar ni mara tano ya bajeti ya mwanza ilhali Mwanza in watu mara 3 ya zanzibar?......Linapokuja suala la maendelo sehemu/nchi zenye waislamu wengi wanakua mbele ya muda,na hii ni kutokana na misingi imara ya dini yao
Bajeti ya Somalia vp, ikoje huko?
 
Usikute miaka ya 60 sisi tunapata uhuru, uchumi wetu ulikuwa bora ama sawa na Singapore, ila sasa wametupiga gape moja kali sana
 
Back
Top Bottom