Budget ya Singapore ya mwaka 2025/2026 ni kubwa mno kuliko Budget ya Tanzania


Umanaanisha sisi Na Mheshimiwa ?
 
😅😅😅😅😅Daaah unafananisha tz na singapore
 
Hakuna uwehu wowote hapo, ni sawa tu!!!
 
Utaambiwa uhamie Singapore. 😂😂
 

Sasa nchi ya Dunia ya kwanza na ya tatu zitakuwa sawa Kuna machawa wanasema tuna uchumi mkubwa. Kuna mmoja anaweka picha ya Castro! Hata hamjui Castro vizuri

ChoiceVariable
Tlaatlaah
 
Bila kuiondoa CCM madarakani Tanzania itaendelea kufukarika tu kwani CCM kipaumbele chao ni kuendelea kutawala tu kwa gharama yoyote ila ndiyo maana hela nyingi zinatumika katika utawala.
 
Kama kilichojaa ndani ya vichwa vya watz wengi ni ngono, pombe, diamond, zuchu, Simba na Yanga pamoja na uchawa usitegemee maajabu. Utajiri mkubwa ni rasimali watu iliyo na akili sahihi.
 
Uliza enzi za huyu dingi hao vijana jeuri walichofanywa. Viongozi wengi wa kiafrika ni wazuri kwenye kuongea sio kutenda wanachoongea.
 
Bajeti ya Somalia vp, ikoje huko?
 
Usikute miaka ya 60 sisi tunapata uhuru, uchumi wetu ulikuwa bora ama sawa na Singapore, ila sasa wametupiga gape moja kali sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…