Buguruni kunalemaza sana wakuu, hebu angalia nguvu ya 500!

Ukiweka chapati mbili za 250/- haaa, shavu dodo! 😀
 
juzi nimekutana na bubu nae yupo anatoa huduma papuchi😔😔
unasema bubu, kuna siku tuliharibikiwa gari pale sheli usiku kama wa saa 8. Tulielekezwa fundi yupo pale hoteli iliyoambatana na Kimboka. Tulikutana na kiwete wa kusota kabisa na yeye anauza mbwasha. Advertise yake anatingisha kiuno huku kasimamia mikono.

Nasikia ana wateja wa kutosha kabisa wa kupanga foleni. Kimboka ile ni fantasy land, hakuna utakachokosa pale.
 
sasa hii unajuaje ni nyama halali ukilishwa nyama ya mbwa?
 
Hiyo ni supu ya vitoto vya ng'ombe.
Kule Vingunguti wakichinja ng'ombe wakakuta ni mjamzito hivyo vitoto ndiyo wanauziwa wamama wa Buguruni wanaowapikia hizo supu za jero jero
Hivyo vindama ambavyo havijazaliwa ng'ombe akichinjwa vinaliwa sana na mataifa ya ulaya mashariki wao huita delicatessen. Utaipenda wanavyo itengeneza. Hakitupwi kitu. You just eat from skin to bones.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…