Buguruni kunalemaza sana wakuu, hebu angalia nguvu ya 500!

Buguruni kunalemaza sana wakuu, hebu angalia nguvu ya 500!

😂🤣😂🤣 sawa fundi K
inawekana hata kondom ushawah kuvaa mlegezo wewe
Machimbo Karibia yote ya hapa buguruni nayajua, ila sijawahi kwenda kununua, na kama ikitokea nahitaji hao malaya nitaenda kwa dada zangu wahaya huku Kwenye vyumba vyao maana nimepanga karibu na vyumba vyao, siwezi kununua wale wa kusimama barabarani
 
Hii ni Supu ya shilingi 500 hapa Buguruni, hivi kwa hali hii unaweza ukapata akili ya kuwa na vitu vikubwa?
Buguruni hii kuna mpaka Chips za 500.

Wali ule unaouzwa 2,000 maeneo mengine hapa tunauziwa 1000, kuna mpaka kipimo cha 500 kama ukiomba unapata wali na maharage!

Nataka nihame hapa Buguruni maana tangia nimehamia hapa ni kama nimepunguza kasi ya kupambana!

View attachment 2982368
Unalishwa supu za ng'ombe zilizofia mnadani😁😂
 
Hii ni Supu ya shilingi 500 hapa Buguruni, hivi kwa hali hii unaweza ukapata akili ya kuwa na vitu vikubwa?
Buguruni hii kuna mpaka Chips za 500.

Wali ule unaouzwa 2,000 maeneo mengine hapa tunauziwa 1000, kuna mpaka kipimo cha 500 kama ukiomba unapata wali na maharage!

Nataka nihame hapa Buguruni maana tangia nimehamia hapa ni kama nimepunguza kasi ya kupambana!

View attachment 2982368
Profesa Janabi; njoo hapa Buguruni haraka sana uone watu wako wanavyokachia nyama za mafuta (saturated fat).
 
Mkuu,

Kuwa makini na supu za buguruni,pamoja na nyama ya mbuzi ambayo huoni kichwa wala mkia wa mbuzi.

Ile unauliza nyama Gani unajibiwa tu ,hii ni nyama ya mbuzi!! Utakula nyama zisizoeleweka kutoka vingunguti hapo.

Ng'ombe washajifia hawaachwi Bure Bure.
2024 unaogopa nyama usiyojua ni ya mnyama mzima au mfu,kwani ulishsikia mtu kafa kisa kala nyama ya ng'ombe mfu??

Siku niliyojua hata hapa bongo kuna watu wanakula chatu na kobe,nikagundua kumbe maisha ni mtazamo tu.
 
Hii ni Supu ya shilingi 500 hapa Buguruni, hivi kwa hali hii unaweza ukapata akili ya kuwa na vitu vikubwa?
Buguruni hii kuna mpaka Chips za 500.

Wali ule unaouzwa 2,000 maeneo mengine hapa tunauziwa 1000, kuna mpaka kipimo cha 500 kama ukiomba unapata wali na maharage!

Nataka nihame hapa Buguruni maana tangia nimehamia hapa ni kama nimepunguza kasi ya kupambana!

View attachment 2982368
Mbona Chadema wanasemaje maisha ni magumu wako kuandamana huko? Au hizi supu za jero hawajaziona?
 
Back
Top Bottom