'Buhari Is So Lifeless!': Asema Trump Baada Ya Kikao Chake Na Rais Wa Nigeria- Financial Times

Hapo kwenye picha trump alikuwa anampa mkono, lakinl akili za Buhari nadhani zilikuwa kule Maiduguri.
sasa tatizo nini???kwani lazima kumpa mkono,hatuwezi kusalimiana hadi tupeane mikono??
hatuwezi kujua kilichokuwa kikiendelea kabla ya kupeana mikono,huenda bwana buhari alimuona trump akijichokonoa pua yake kwa vidole vya huo mkono aliompa!! ..hata mimi nisingempa mkono wangu!
 
Ushamba upo wapi hapo, ww ni reasonable fellow, naomba point ushamba alioongelea hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona nyinyi mnawaona wazungu kama watu special sana? Mtu akijihusisha nao eti ni kwamba anajipendekeza kwao. Fikra kama hizi ni za kipuzi, hazifai.


Hivi nyie vibaraka wa ngozi nyeupe mtakuwa lini?
Watumwa mamboleo ni shida sana walahi!
That’s all



Fyi, ni kutokana na Kikwete kuzurura huko ndiko uchumi wa Tanzania umekuwa ukikuwa kwa viwango hivyo tunavyoshuhudia sasa.
Huyu rais wa sasa mnampa pongezi nyingi visivyo.
 
UHURU KENYATTA ni mrefu , lakini nimeangalia picha waliyopiga na Trumph, naona Trumph mrefu kweli.

Sasa huyu ANKO MAGU kwa ufupi ule akisimama na trumph si atakuwa kama andunje??? Hahahahahaaaa

Halafu na kimombo hakipandi.

Anaweza akapiga mtu ngumi kwa husuda.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi why tunatoa mappvu lwa uhuru wa kenya tuna yetu mengi yakujadili ila na sisi tumezidi Bibi wine kaswekwa ndani amekuwa gumzo Uhuru kae da USA shida tupu hatuna yetu jamani
 


Mweeh! 😁

Trump stands at 6'2.
Uhuru anoenakana he's about 6 ft tall, mfupi kidogo kwa Trump.



Sijui His Excellency Dr. John Joseph Pombe Magufuli ni mrefuje..
 
Mweeh! [emoji16]

Trump stands at 6'2.
Uhuru anoenakana he's about 6 ft tall, mfupi kidogo kwa Trump.

View attachment 849826

Sijui His Excellency Dr. John Joseph Pombe Magufuli ni mrefuje..
His excellency ni mfupi mno!!

Nakumbuka Kagame alipokuja Tanzania.........His excellency alikuwa anamfikia kifuani halafu ni kama alikuwa ana-lose confidence kiaina.

Hahahahaaa



Sent using Jamii Forums mobile app
 
His excellency ni mfupi mno!!

Nakumbuka Kagame alipokuja Tanzania.........His excellency alikuwa anamfikia kifuani halafu ni kama alikuwa ana-lose confidence kiaina..


Aiseh!, Sipati picha His Excellency kama alimfika Mr Slim kifuani, aje asimame na Ange Kagame...πŸ˜ΆπŸ™ŠπŸ™ˆ

 
Kwa hiyo wakaamua wajenge miundo mbinu ya east African !!!!, kuhusu Sudan wameamua itakuwa jumbo la Kenya mipaka Uganda na Tz itakuwa mkoa wa Nairobi, ambapo Rwanda ni Wilaya za kibera slams. Sijui kama nimekuelewa sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…