'Buhari Is So Lifeless!': Asema Trump Baada Ya Kikao Chake Na Rais Wa Nigeria- Financial Times

'Buhari Is So Lifeless!': Asema Trump Baada Ya Kikao Chake Na Rais Wa Nigeria- Financial Times

Hapo kwenye picha trump alikuwa anampa mkono, lakinl akili za Buhari nadhani zilikuwa kule Maiduguri.
sasa tatizo nini???kwani lazima kumpa mkono,hatuwezi kusalimiana hadi tupeane mikono??
hatuwezi kujua kilichokuwa kikiendelea kabla ya kupeana mikono,huenda bwana buhari alimuona trump akijichokonoa pua yake kwa vidole vya huo mkono aliompa!! ..hata mimi nisingempa mkono wangu!
 
Ushamba upo wapi hapo, ww ni reasonable fellow, naomba point ushamba alioongelea hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona nyinyi mnawaona wazungu kama watu special sana? Mtu akijihusisha nao eti ni kwamba anajipendekeza kwao. Fikra kama hizi ni za kipuzi, hazifai.


Hivi nyie vibaraka wa ngozi nyeupe mtakuwa lini?
Watumwa mamboleo ni shida sana walahi!
That’s all


.......Sisi hatuna tabia ya kujikomba kwa wazungu, Uhuru amewakilisha Kenya sisi hatukubaliani na tabia yake ya kuzurura aimlessly, tulimchukia Kikwete kwasababu ya tabia hiyo ya kuzurura hovyo, kama ninyi mnaipenda msitushirikishe sisi hatuitaki kabisaaaaa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Fyi, ni kutokana na Kikwete kuzurura huko ndiko uchumi wa Tanzania umekuwa ukikuwa kwa viwango hivyo tunavyoshuhudia sasa.
Huyu rais wa sasa mnampa pongezi nyingi visivyo.
 
UHURU KENYATTA ni mrefu , lakini nimeangalia picha waliyopiga na Trumph, naona Trumph mrefu kweli.

Sasa huyu ANKO MAGU kwa ufupi ule akisimama na trumph si atakuwa kama andunje??? Hahahahahaaaa

Halafu na kimombo hakipandi.

Anaweza akapiga mtu ngumi kwa husuda.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa unataka kutulazimisha tushiriki katika fedheha yenu kwa nguvu?. Kenya, Uganda na Ethiopia zimepakana na S. Sudan na ndizo zinazphusika zaidi katika kusuluhisha mzozo huo, ulitaka Trump asizungumzia hilo Suala na Kenya badala yake azungumze na rais wa Botswana au?.

Mbona mikataba ya biashara hajasaini ya ukanda mzima badala yake ni Kenya pekee?. Hii ni kawaida yenu ninyi ubinafsi umewajaa sana, wakimbiaji wenu wakishinda huko nchi za nje mnasema ni mkenya ameshinda, ila musicians wa Tanzania akifanya vizuri mnasema huyu ni East african. Sisi hatuna tabia ya kujikomba kwa wazungu, Uhuru amewakilisha Kenya sisi hatukubaliani na tabia yake ya kuzurura aimlessly, tulimchukia Kikwete kwasababu ya tabia hiyo ya kuzurura hovyo, kama ninyi mnaipenda msitushirikishe sisi hatuitaki kabisaaaaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi why tunatoa mappvu lwa uhuru wa kenya tuna yetu mengi yakujadili ila na sisi tumezidi Bibi wine kaswekwa ndani amekuwa gumzo Uhuru kae da USA shida tupu hatuna yetu jamani
 
UHURU KENYATTA ni mrefu , lakini nimeangalia picha waliyopiga na Trumph, naona Trumph mrefu kweli.

Sasa huyu ANKO MAGU kwa ufupi ule akisimama na trumph si atakuwa kama andunje??? Hahahahahaaaa
Halafu na kimombo hakipandi.
Anaweza akapiga mtu ngumi kwa husuda..


Mweeh! 😁

Trump stands at 6'2.
Uhuru anoenakana he's about 6 ft tall, mfupi kidogo kwa Trump.

40225725_1049176488577641_589796393829269504_n (1).jpg


Sijui His Excellency Dr. John Joseph Pombe Magufuli ni mrefuje..
 
Mweeh! [emoji16]

Trump stands at 6'2.
Uhuru anoenakana he's about 6 ft tall, mfupi kidogo kwa Trump.

View attachment 849826

Sijui His Excellency Dr. John Joseph Pombe Magufuli ni mrefuje..
His excellency ni mfupi mno!!

Nakumbuka Kagame alipokuja Tanzania.........His excellency alikuwa anamfikia kifuani halafu ni kama alikuwa ana-lose confidence kiaina.

Hahahahaaa



Sent using Jamii Forums mobile app
 
His excellency ni mfupi mno!!

Nakumbuka Kagame alipokuja Tanzania.........His excellency alikuwa anamfikia kifuani halafu ni kama alikuwa ana-lose confidence kiaina..


Aiseh!, Sipati picha His Excellency kama alimfika Mr Slim kifuani, aje asimame na Ange Kagame...😶🙊🙈

ange-kagame.jpg
 
Upende usipende rais Uhuru aliwakilisha ukanda huu wote wa Afrika ya mashariki na kati. Ndio maaana walijadili masuala ya S.Sudan. Tz ni nchi moja tu kati ya zingine kadhaa kwenye ukanda huu. Uafrika na uzungu sio ishu, rais Uhuru Kenyatta alialikwa ili waketi kwenye kikao na wajadiliane na rais wa nchi ambayo ipo mbali sana kiuchumi, kimaendeleo, n.k, n.k..
Kwa hiyo wakaamua wajenge miundo mbinu ya east African !!!!, kuhusu Sudan wameamua itakuwa jumbo la Kenya mipaka Uganda na Tz itakuwa mkoa wa Nairobi, ambapo Rwanda ni Wilaya za kibera slams. Sijui kama nimekuelewa sahihi.
 
Back
Top Bottom